Tembulukoje
JF-Expert Member
- Jun 14, 2014
- 397
- 143
yani magufuli anasahaulika,mda huu mngetumia kumnadi mgombea wenu badala ya kujitahidi kumchafua lowasa,kiufupi ni kwamba ccm imechokwa na wananchi wanaopenda maendeleo,wale wananchi wanaofurahia kusafirishwa twiga bila pasi ya kusafiria ndio wanaoishabikia ccm
Jitu gonjwa
Halina nguvu
Fisadi
Tamaa
Saliti
Nafiki
King'ang'anizi
Kwnn anataka sana urais
Huyo atakuwa ana tamaaa
Visasi
Kurudisha gharama zake za uchaguzi
Hatuko tayr kuachilia jizi liende ikulu
SOMA HII KWA MAKINI: Nafasi ya Urais sio nafasi ya kupata "kama zali". Hata uwe kiongozi mzuri kiasi gani huwezi kushtukizwa na kupewa mikoba ya nchi kirahisi rahisi tu. Lazima uwe umejipanga, umejiandaa na uko tayari.
Hotuba za Magufuli zinadhihirisha kuwa aliingia kwenye kinyang'nyiro kwa kujaribu....
Sidhani kama Tanzania ni maabara ya kuendelea kufanya majaribio ya akina Kikwete...bila lengo mahususi, dira na muelekeo unaoeleweka zaidi ya utukufu wa kushika atamu....!!
Jitu gonjwa
Halina nguvu
Fisadi
Tamaa
Saliti
Nafiki
King'ang'anizi
Kwnn anataka sana urais
Huyo atakuwa ana tamaaa
Visasi
Kurudisha gharama zake za uchaguzi
Hatuko tayr kuachilia jizi liende ikulu
Kwa hio unataka tuwaamn hao vigeu geu wako wakina mbowe msigwa na mbatia?
Kama wanaweza hadi kuzgeuka kauli zao ?
Watashindwa kukugeuka ww mwananchi wa kawaida?
Tumuamn lowassa?
Khaaaaaa
Kwan mwaka 2008
Alipoiba akalazishwa ajiuzuru ulikuwa hujazaliwa?
Achen kujitia pamba masikion nyinyi
Hatuwez kuwaamn wanafiki kama wana ukawa
LowasaJitu gonjwa
Halina nguvu
Fisadi
Tamaa
Saliti
Nafiki
King'ang'anizi
Kwnn anataka sana urais
Huyo atakuwa ana tamaaa
Visasi
Kurudisha gharama zake za uchaguzi
Hatuko tayr kuachilia jizi liende ikulu
Vp hawa waliopo sasa wanaoiba rasolimali zetu yan twiga na shngo yake ndefu bdo anafit ndan ya ndege
Lowasa
atawanyoosha mwaka huu
Lowasa
atawanyoosha mwaka huu
Nimekaa nikatafakari sana, nikajiuliza sana, nikaamua na mimi kutoa maoni yangu juu ya mwenendo wa siasa hapa nchini Tanzania hasa kwa kipindi hiki tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu. Nimejiuliza maswali muhimu mawili (2) magumu ambayo nimeshindwa kupata majibu kusuhu huyu mgombea wa uraisi kupitia umoja wa vyama vya UKAWA.
1. Kwa nini vijana wengi hasa wasiokuwa na ajira, walalahoi na mamalishe humshabikia sana Lowassa wakati wasomi, wazee makini na kiujumla watu MAKINI wakimpinga? Je ni kwa sababu Lowassa ANAUCHUKIA umasikini? Je Lowassa akiwa raisi ataoneshaje kuwa ni kwel unauchukia umasikini kwa hawa mamalishe na hawa vijana wasiokuwa na kazi? Atafanya nini hasa kwa haya makundi anayopenda KUJIOSHEA wakati wa hoja zake za kutafuta kura? Nachokijua mimi hizo ni kauli za kisiasa tu katika kutafuta kura. Nasema hivyo kwa sabubu zifuatazo:-
a) Kwanza mimi siamini kama kuna urafiki kati ya TAJIRI na MASIKINI. Hakuna huo urafiki, haupo.
b) Nyuma ya Lowassa kuna watu kama Lostam, Kalamagi ambao wote ni matajiri. Lowassa anatumia umasiki wa haya makundi kuyalaghai akijua pia kuwa ni MASIKINI WA KUFIKIRI na wasiokuwa na uwezo wa kutafakari mambo.
c) Tatizo la ajira kwa vijana kwa sasa halitatuliki kwa njia yoyote, hata kama ni kujenga viwanda kila kata. Vijana wanaohitimu vyuo ni wengi sana kila mwaka. Uwiano wa kila kazi moja inayotangazwa kwa sasa ni 1:90. Na bado watu tunazaa kama hatuna akili nzuri. Tatizo la ajira kwa sasa sio tena kusema utajenga viwanda. Hebu kama kweli unataka kuwa raisi njoo na hoja tofauti ili watu MAKINI tukuelewe.
2. Kwa nini Lowassa amengangania sana uraisi? Kuna biashara gani pale ikulu? Hadi kufikia hatua ya kukisaliti na kukihama chama? Ana ajenda gani? Na kama ameweza kukisaliti chama kilichomlea tangu mwaka 1977 takribani miaka 38 atashindwa kuisaliti nchi kweli kwa miaka 5?
Lowassa kiujumla yuko na uroho wa madaraka, uraisi kwake ni kufa na kupona. Na mbaya zaidi anatumia kundi la vijana hasa wasiokuwa na ajira (wasiokuwa na uwezo wa kufikiria na kudadavua mambo) ambao ndo wengi kuwalaghai na kauli ya NACHUKIA UMASIKI wakati hakuna urafiki kati yake yeye tajiri na umasikini.
Jitu gonjwa
Halina nguvu
Fisadi
Tamaa
Saliti
Nafiki
King'ang'anizi
Kwnn anataka sana urais
Huyo atakuwa ana tamaaa
Visasi
Kurudisha gharama zake za uchaguzi
Hatuko tayr kuachilia jizi liende ikulu
Siku zote nawaambia vijana wa UKAWA akili chache
Ona sasa huyu mchumia pesa anayoyaongea
Nonsense
Toen hoja kwa hoja
Jibu hoja zangu hapo
Nmesema lowasa mgonjwa
Mnafiki
Mwizi wa rasilimali ameiba ranchi ya taifa na kuwapa wamasai wenye ng'ombe zake had ndugu zetu wakulima na wafugaj wanauana
Mwz
Aliiba kwenye Richmond
Bunge zma likathbitisha hilo
Na akawajibishwa .
Njoon na hoja
Sio kama za huyo mchumia pesa