Hizi karibuni Rais Samia alisema mapungufu yalikuwepo katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa na wamejipanga uchaguzi mkuu kuendeshwa kikanuni na sheria zilizowekwa.
Nafikiri kila mtu anapaswa kuwaza hivi...
1) Ikiwa uchaguzi wa serikali za mitaa ulikuwa na dosari basi hata viongozi waliotangazwa wana dosari.
2) Kwanini uchaguzi huo usifutwe na tufanye uchaguzi mwingine ambao ni wa haki na uhuru kwa wote?
3) Je, tutaaminije hizo dosari hazitakuwa kwa uchaguzi mkuu?
4) Je, uchaguzi kwetu una maana kweli kama tutapuuza dosari zinazojitokeza?
5) Tunajua kweli umuhimu wa uchaguzi huru na haki katika nchi?