Maswali matano(5) kwa wana MMU

Maswali matano(5) kwa wana MMU

Hahahah! Sijui kama wa Litola au la, ila sio ishu Ngalikihinja anaweza kujiswapia tu kama mimi nilivyojiswapia kitu cha Ushirombo! Dada utandawazi,
Ila ipo nafasi kwa mlamu mtarajiwa Ablessed kuja kuweka sawa jambo hili
Pengine sikueleweka , nilikua namaanisha mleta mada ameuliza maswali mengi ambayo yote ni muhimu , nilikua nashauri alete swali moja baada ya jingine ili aweze kupata mchango wa kutosha. Nimeshangaa kuona hii lugha nisiyoijua "mlamu mtarajiwa " kwani vipi
 
Ablessed napenda kukwambia kwamba ucjali nitaweza kuleta thread nying zenye uzto kama huu au zaid ya hapa,lengo langu kubwa n kuleta chalenges ili tuangalie beyond reality katika mapenzi
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kila swali ulilouliza linatosha kuwa thread moja, kwa kufanya hivyo ingekuwa rahisi sana wana jf kwenye jukwaa la MMU kukupa michango sahihi na wewe na wengine nikiwemo mimi kufaidika kufaidika na michango hiyo. Ulivyoweka inakuwa kama mtihani tena, unajibu swali then unarudi kuangalia swali linalofuata linauliza nini.

Ushauri lete thread hii katika mada tano tofauti.

Senetor zinamsumbua mwanzisha uzi; hawezi kupangilia maswali yake. Ebu mpe maji baridi kwanza apunguze kilevi....
 
Senetor zinamsumbua mwanzisha uzi; hawezi kupangilia maswali yake. Ebu mpe maji baridi kwanza apunguze kilevi....

Mkuu nakuruhusu re arrange ili 2pate huo mpanglio,na kama utashndwa inabdi upewe jina ,hata kwetu wapo
 
Ngalikihinja
ndugu sijakuelewa hicho ulichojibu hapo juu, naona maneno nisiyoyaelewa tafadhari hebu jaribu kunielewesha.
 
Back
Top Bottom