Habr zenu wakuu na wadogo pia,bt wote mtahusika kwenye huu uzi!
1-Kwanza kabisa napenda kuwauliza inavyosikika wapenz wanasema kuwa hatuta achana kwenye shida,miteremko na mabonde huwa mna maana gani hasa?,
Hivi ikitokea mwenz wako ana cheat hiyo huwa haipo kwenye upande wa shda,mabonde au milima katika mahusiano yenu??
2-Pia wajamen napata wakati mgumu sana kuelewa upofu wa mapenz kama ambavyo nimekuwa nikickia,toka nikiwa mdogo.
3-Naona kuna watu hata humu wanafurahia mapenzi,je? hawa ndo waliumbwa kwaajil ya mapenzi,na kama yes,kwanin we kila mwaka unachezea vbut na kama hapana kwa nini wewe na umpendaye msiweze?
4-Hiv umekuwa ukijiuliza mara ngapi kabla hujaanza mahusiono na huyo unaedhan kwamb unampenda?,
5-Halafu kuna ugumu gani mtu kujua kama anapendwa na yeye akathubutu kupenda kwa dhati?
Namalizia kwa kusema hv jiulize what u need kutoka kwa mpenz pande zote yani ndan na nje yake!!!
Wenu Walas Ba

Last edited by a moderator: