kyatamato JF-Expert Member Joined May 14, 2015 Posts 387 Reaction score 269 Aug 31, 2016 #61 kama asikari walizingira ile nyumba na kuishambulia na jambazi hawajampata..basi ile nyumba itakua na handaki la mwendo kasi..
kama asikari walizingira ile nyumba na kuishambulia na jambazi hawajampata..basi ile nyumba itakua na handaki la mwendo kasi..
kyatamato JF-Expert Member Joined May 14, 2015 Posts 387 Reaction score 269 Aug 31, 2016 #62 kama asikari walizingira ile nyumba na kuishambulia na jambazi hawajampata..basi ile nyumba itakua na handaki la mwendo kasi..
kama asikari walizingira ile nyumba na kuishambulia na jambazi hawajampata..basi ile nyumba itakua na handaki la mwendo kasi..
kikoozi JF-Expert Member Joined Jun 24, 2015 Posts 2,175 Reaction score 3,221 Aug 31, 2016 #63 Eddy Love said: UKISOMA KITABU CHA HOFU UTAYAJUA MAMBO MENGI SANA YA KIJASUSI Click to expand... Nakipata wapi icho kitabu mkuu
Eddy Love said: UKISOMA KITABU CHA HOFU UTAYAJUA MAMBO MENGI SANA YA KIJASUSI Click to expand... Nakipata wapi icho kitabu mkuu
mkubhi JF-Expert Member Joined Sep 9, 2015 Posts 2,216 Reaction score 3,319 Sep 7, 2016 #64 Hicho kitabu cha hofu kinapatikana je!?
Auz JF-Expert Member Joined Apr 6, 2016 Posts 13,840 Reaction score 11,783 Sep 7, 2016 #65 Ulikuwa mpango wa kumuondoa ili waendelee na yao.
Mhandisi Mzalendo JF-Expert Member Joined Aug 23, 2010 Posts 8,026 Reaction score 14,912 Sep 7, 2016 #66 Jamaa kapigwa risasi na wenzake baada ya kutokua na mawasiliano kabla.... Ile nyumba haikua na majambazi zaidi ya mama na mwanae... Yale marisasi yalikua ni kucover story tu hamna cha majambazi.... Anyway natania tu
Jamaa kapigwa risasi na wenzake baada ya kutokua na mawasiliano kabla.... Ile nyumba haikua na majambazi zaidi ya mama na mwanae... Yale marisasi yalikua ni kucover story tu hamna cha majambazi.... Anyway natania tu
wambura marwa JF-Expert Member Joined Mar 7, 2015 Posts 2,171 Reaction score 1,130 Sep 7, 2016 #67 y-n said: Namimi nakihitaji kiongozi. Click to expand... hapa chenga ya mwili