Aseee ata sijui kwa nini ila kikubwa nilitaka tu niwe na ID tofauti na ya kushangaza mbele ya jukwaa la magreat thinker,Kwann uliamua kujitoa zero iq
Wewe jamaa nakukubali hatar sana,ningelikuwa ni Rais wa JMT ningelikuwa nakualika Ikulu kila week nipate japo nafasi ya kula na kupiga story na weweKurudiana na x wangu ambae alishakuwa na mimba ya jamaa mwingine
hivi mna undugu na Ndugai?Kwa yeyote anaetaka kumfahamu Mr Zero IQ uliza utajibiwa hapa,
Cc ZERO IQ
Nashukuru sana mkuu ila vipi ungekuwa haumuofii janet wako mkuu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji125][emoji125]Wewe jamaa nakukubali hatar sana,ningelikuwa ni Rais wa JMT ningelikuwa nakualika Ikulu kila week nipate japo nafasi ya kula na kupiga story na wewe
Wewe ni mtu unayeishi maisha halisi hapa Jf na huko mtaani,hutaki ku-fake maisha...hongera sana kwa hilo!
Wewe Jombaaa ni shida tupu!Dog style mkuu nataka zaga lote nilione kwa nyuma
Nilishawahi kuwa na stress kiasi kwamba nilitamani nijiue,1:Ziro IQ unawezaje kuondokana na STRESS ?
2: Maisha kwako ni nini
Nisinge muhofia hata kidogo!Nashukuru sana mkuu ila vipi ungekuwa haumuofii janet wako mkuu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji125][emoji125]
Kwa comment hii,wewe una akili nyingi kuliko watu wanaoandika research!Nilishawahi kuwa na stress kiasi kwamba nilitamani nijiue,
ila kwa sasa sina Stress tena naishi kwa Amani ya moyo wangu , sitaki kuwaza mambo ambayo nahisi ata niwaze mara 1000 sitakuwa na jibu,
Maisha kwangu ni Kuishi vile Moyo wangu unapenda, narizika kwa kile kidogo ninachokipata na kikubwa zaidi kufanya yale yanayonifurahisha na kunipa Amani