Maswali kwa Watendaji wa Kata, PSRS

Maswali kwa Watendaji wa Kata, PSRS

Mzee Mchopu

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2014
Posts
1,031
Reaction score
268
WASALAAM
Ndugu wapendwa mabibi na mabwa
Napenda kufahamu kwa wale ambao walishawahi kufanya interview utumishi kwa usaili wa WATENDAJI WA KATA
Huwa yanaulizwa maswali ya aina gani maana mimi nimebahatika kuitwa nikafanye usaili sasa sijawahi kufanya usaili kwa kada hiyo
kwa ambae anafahamu basi asisite kunipa mwanga ama kutupa mwanga hata kwa niaba ya wale ambao hawajapata fursa ya kuuliza hapa swali
NATANGULIZA SHUKRANI
 
jiamini hamna swali gumu kawada sana mjue rais wako jina waziri wa tamisemi nk levels za uongozi
 
kujiintrojuz your self
kujua kutatua migogolo
kaz za serikar za mitaa local
ujue ww unasifa zipi
ujue majukum yako kama afisa mtende
 
Taja Sifa Za Mtendaji Wa Kata,

Taja Muundo Wa Serikali Ya Kijiji,

Taja Muundo Wa Serikali,

Kwanini Umeomba Nafasi Hii,

Unawezaje Kutatua Migongoro Ktk Kata Yako,

Taja Mambo Ambayo Yanaweza Kukuleteya Mgongoro Kata Yako,

Kazi Za Mtendaji Kata,

Vikao Vya Halmashauri Uwa Vinakaa Mara Ngp Na Kwa Hawamu Zipi Taja ?,

Mfumo Wa Vyama Vingi Ulianza Mwaka Ngani, Ibara Ya Ngp ? Taja Vyama Vilivyo Anza Ktk Mfumo Huwo,

Nakuomba Jambo La Msingi Ni Kujiamini Pia Kujitambua, Nakuomba Usome Sana Mambo Ya Local Government Xana Pia Na Katiba Utambuwe Maswali Uwa Yapo.
 
WASALAAM
Ndugu wapendwa mabibi na mabwa
Napenda kufahamu kwa wale ambao walishawahi kufanya interview utumishi kwa usaili wa WATENDAJI WA KATA
Huwa yanaulizwa maswali ya aina gani maana mimi nimebahatika kuitwa nikafanye usaili sasa sijawahi kufanya usaili kwa kada hiyo
kwa ambae anafahamu basi asisite kunipa mwanga ama kutupa mwanga hata kwa niaba ya wale ambao hawajapata fursa ya kuuliza hapa swali
NATANGULIZA SHUKRANI
Editha Julius Magesa
 
Taja Sifa Za Mtendaji Wa Kata,

Taja Muundo Wa Serikali Ya Kijiji,

Taja Muundo Wa Serikali,

Kwanini Umeomba Nafasi Hii,

Unawezaje Kutatua Migongoro Ktk Kata Yako,

Taja Mambo Ambayo Yanaweza Kukuleteya Mgongoro Kata Yako,

Kazi Za Mtendaji Kata,

Vikao Vya Halmashauri Uwa Vinakaa Mara Ngp Na Kwa Hawamu Zipi Taja ?,

Mfumo Wa Vyama Vingi Ulianza Mwaka Ngani, Ibara Ya Ngp ? Taja Vyama Vilivyo Anza Ktk Mfumo Huwo,

Nakuomba Jambo La Msingi Ni Kujiamini Pia Kujitambua, Nakuomba Usome Sana Mambo Ya Local Government Xana Pia Na Katiba Utambuwe Maswali Uwa Yapo.
Naona umeshatoa majibu ya usahili, kazi kwake kama Vodacom na ashindwe yeye tu.
 
Back
Top Bottom