Itabid tutumie msemo mmoja wa wamarekani "No matter whether he will bring development or not we will choose Obama to show the world that America is for everyone"
Sisi tunasema "No matter whether he will bring development or not we will choose Lowasa from UKAWA to show the World that Tanzania is not for CCM only"...,,,
Finally mi pia lofa
Hivi inakuingia akilini mtu aliyekuwa serikalini miaka 35.
Aliyekuwa mbunge miaka 25.
Aliyekuwa Waziri miaka 19.
Aliyekuwa Waziri mkuu miaka 2.
Eti hajui kero zetu! eti anatembea kwa wananchi kuulizia kero zao!
kama hujui kero zetu unagombea Urais ukafanye nini?
Ni bora tumpe ambae ameshatatua baadhi ya kero zetu aende kumaliza kuzitatua maana alizitatua katika majukumu aliyokuwa amepewa na aliyatatua kikamilifu bila makandokando yoyote.
#Hapa_Kazi_Tu
#Kura_Yangu_Nampa_Magufuli_Wewe pia fanya uamuzi sahihi mpe kura yako.
Mzee hana jibu kabisa
Hizo ndo kampeni !
Dogo hizi ni kampeni! Ingalikuwa hivyo unavyofikiri wewe kusingekuwa na haja ya kufanya kampeni!
KWELI CCM HAMNA TENA SERA ZA MAANA,SASA NDIO NINI HIKI? nawewe unaelekea kule kwenye mipasho na matusi kama wazee wenu wa CCM,Watanzania wanataka HOJA ZA MUHIMU KWAO NA SIO UZUSHI,nyie ngojeni October 25.
Mzee hata kuzungumza hawezi,shughuli.