Jamani rahisi wangu, ukoje? hv huyu jamaa hua anashauriwa na nani?Mhe. Rais JK nina maswali machache naomba uyapatie majibu:
Mhe. Rais huenda ukijibu maswali haya utapunguza hasira walizonazo wabunge na wananchi kwa jumla.
- Je ripoti ya CAG umewahi kupewa na kuisoma au kusikia hoja zake?
- Je mijadala ya wabunge wakiwa bungeni huwa unasikiliza au kupewa taarifa ya mijadala hiyo?
- Je kashfa zinazotolewa dhidi ya serikali yako hususan mawaziri unazifuatilia au unazipuuzia?
- Je kutokana na hali mbaya ya kiuchumi Taifa inalokabiliana nalo, una mikakati ya kutunasua au umekata tamaa?
Salam aleykuum!
JK ana washauri wengi na idara ya mawasiliano, kwa nini hawamsaidii?!Hapo kwenye kusoma report sidhani kama kuna huo muda kwani Vasco Da Gama wa zamani alisoma kwanza kabla hajaanza exploration yake laki huyu wa sasa kaanza kwa kasi sana hadi anamfuata Maximo wewe unafikiria huo muda wa kusoma report ya kurasa nyingi kwa makini anao.
Mhe. Rais JK nina maswali machache naomba uyapatie majibu:
Mhe. Rais huenda ukijibu maswali haya utapunguza hasira walizonazo wabunge na wananchi kwa jumla.
- Je ripoti ya CAG umewahi kupewa na kuisoma au kusikia hoja zake?
- Je mijadala ya wabunge wakiwa bungeni huwa unasikiliza au kupewa taarifa ya mijadala hiyo?
- Je kashfa zinazotolewa dhidi ya serikali yako hususan mawaziri unazifuatilia au unazipuuzia?
- Je kutokana na hali mbaya ya kiuchumi Taifa inalokabiliana nalo, una mikakati ya kutunasua au umekata tamaa?
Salam aleykuum!
JK ana washauri wengi na idara ya mawasiliano, kwa nini hawamsaidii?!

Mkuu
Samahani Bwana, unajua as of recent, nimededicate muda mrefu zaidi kuchangia thread moja iko kwenye jukwaa la JAMII INTELLIGENCE titled MIZIMU, kwa hiyo niko very sensitive na issues za mizimu.
Swali la Msingi
Haya Maswali unamuuliza Julius Kambarage au Jakaya kikwete, naomba Jibu kabla sijachangia?