Dr. Asha-Rose Migiro, former Deputy Secretary General of UN nina maswali machache juu yako. Baada ya kusikia kwenye vyombo vya habari kuwa sasa umerudi nyumbani ukidai ili kulitumikia taifa; makatibu wakuu wengi sijui kuhusu mtangulizi wako wamekuwa international mediators. Swali no. 1: hivi ni kwa nini kwenye UN Assembly 2011 wakati Rais wa Iran Mahmoud Ahmedinejad alipokuwa anaongea ulitoka nje kama walivyofanya mataifa ya Ulaya na Marekani? [angalia video sekunde 0.00 - 0.06 na 09.45] Swali no. 2: je, kama ndio uzoefu huo ulioupata huko ukiwa kama Rais wa Tanzania sio kuwa utaumiza demokrasia kwa kuwa na serikali isiyo onesha tolerance? Swali no. 3: kwa nini umefika tu nchini na kuanza kutaka publicity ya nguvu?
Nchi ina vituko hii, huyu mama nae anautaka Urais! yaani baada ya haya yooote bado kweli mtu kama huyu anawaza kuwa Rais! pamoja na udhaifu woote huu...
Apunzike ale pensheni na vijesenti alivyovipata huko!!uroho wa madaraka unamsumbua huyu mam anaboa yaani kapigwa ban UN anataka chafua hali ya bongo,,,uroho na roho baya ya kutaka kubaka democrasia bongo.f........ck you
Hivi mama asha bado unatamani uongozi?
kwanini usitulie ukatunza heshima yako kama akina koffi anan
ambao bado wanapata heshima kutokana na kutojiingiza tena kwenye
siasa za nyumbani.
"She is trained dog, never think for its own and alyaws obeys the order of its master".....Huu ulukua unafiki na ujinga mkubwa, Ubarozi wa Iran upo hapa Tanzania na hakuna mahusiano mabaya. She dd that for the sake of orders!
Mtumwa wa fikra potofu na shuhuda wa kila kisemwacho bila kujenga hoja!