Ngoja wajemwendazake kwa kiingereza inatamkwaje?
Kama ugonjwa wa JPM ulihusisha tatizo la moyo, siyo ajabu Dr Mohamed Janabi kushirikishwa kwenye tiba kwa kuwa ni mbobezi wa eneo hiloDk Janabi alikuwa pale muda wote akifanya nini ilhali yeye hakuwahi kuwa Daktari wa JPM,bali alikuwa ni Daktari wa familia ya Kikwete na pia swahiba ya JK?
Johnny walkermwendazake kwa kiingereza inatamkwaje?
Umenijibu kwa wepesi sana huku ukiwa na hoja ingine mfukoni!Maswali yako naona yanajibika, naona umeacha hisia zikutawale kwa kiasi kikubwa ndio tatizo lako.
-Hii tabia ya kuficha ugonjwa wa viongozi wetu niseme ndio tabia ya serikali yetu, walianzia kwa Hayati Magufuli wakaja nayo mpaka kwa VP wa sasa.
- Uwepo wa Dr. Janabi eneo la tukio kwangu nachukulia tofauti, inawezekana aliitwa pale akatoe ushauri wake wa kitabibu juu ya mgonjwa, hili hutokea kwa madaktari wengi, sioni sababu ya kuwa na hofu.
- Kuhusu Hayati JPM kupelekwa Mzena, najua hiyo ndio hospitali yao wazito wa hii nchi, hata Mzee Hayati Mwinyi nae alienda kutibiwa pale last month tukaambiwa mauti yalimkuta pale.
- Hayati JPM kwa ile tabia yake ya kutopenda mambo ya wazungu, sishangai kuona kwanini hakupelekwa huko Ulaya unapopataka.
- Unaposema Hayati Magufuli aliachwa akipigania uhai wake kama mateka napo unapokosea, mgonjwa akiwa amelazwa hospitali akiendelea na matibabu hutembelewa na ndugu au jamaa zake, wakati ule hauwezi kusema aliachwa akipigania uhai wake kama mateka, wakina Mabeyo na wengine ndio walikuwa jamaa zake wakati ule, Hayati JPM akiwa kama Amiri Jeshi Mkuu, na Mabeyo akiwa kama CDF.
• Hili suala la kushirikishwa kwa wengine, mbona inawezekana kabisa ikawa walishirikishwa kwa njia nyingine za kimawasiliano, mimi nijuavyo, hakuna hospitali inayoeleweka itaruhusu lundo la watu bila kujali vyeo vyao wakajazane wodini kwa mgonjwa, huo utakuwa ni usumbufu kwa mgonjwa usiotakiwa.
Kwangu, kama wakati wa kifo cha Hayati JPM pasingekuwepo na ugonjwa wa Corona, hapo ningeweza kuamini hizi rumours za mwendazake kuondolewa na wajanja, lakini kama Corona ilikuwepo, na ikaondoka na baadhi ya wasaidizi wa Hayati JPM, sioni kwanini isingemuondoa na JPM ikiwa hakuwahi kuchukua tahadhari zozote za kisayansi kujikinga dhidi ya ule ugonjwa.
Siyo hisia tu zimemuongoza ila na ujinga piaMaswali yako naona yanajibika, naona umeacha hisia zikutawale kwa kiasi kikubwa ndio tatizo lako.

🆒📝🔊👍👌👊👏🤝🙏🗼Maswali yako naona yanajibika, naona umeacha hisia zikutawale kwa kiasi kikubwa ndio tatizo lako.

Mjinga ni wewe! mpumbavu ni wewe! na hayawani ni wewe!Siyo hisia tu zimemuongoza ila na ujinga pia
Umejibu kitaalamu sana, hujaacha hata chembe ya mashaka. Kongole denoo JGMaswali yako naona yanajibika, naona umeacha hisia zikutawale kwa kiasi kikubwa ndio tatizo lako.
-Hii tabia ya kuficha ugonjwa wa viongozi wetu niseme ndio tabia ya serikali yetu, walianzia kwa Hayati Magufuli wakaja nayo mpaka kwa VP wa sasa.
- Uwepo wa Dr. Janabi eneo la tukio kwangu nachukulia tofauti, inawezekana aliitwa pale akatoe ushauri wake wa kitabibu juu ya mgonjwa, hili hutokea kwa madaktari wengi, sioni sababu ya kuwa na hofu.
- Kuhusu Hayati JPM kupelekwa Mzena, najua hiyo ndio hospitali yao wazito wa hii nchi, hata Mzee Hayati Mwinyi nae alienda kutibiwa pale last month tukaambiwa mauti yalimkuta pale.
- Hayati JPM kwa ile tabia yake ya kutopenda mambo ya wazungu, sishangai kuona kwanini hakupelekwa huko Ulaya unapopataka.
- Unaposema Hayati Magufuli aliachwa akipigania uhai wake kama mateka napo unapokosea, mgonjwa akiwa amelazwa hospitali akiendelea na matibabu hutembelewa na ndugu au jamaa zake, wakati ule hauwezi kusema aliachwa akipigania uhai wake kama mateka, wakina Mabeyo na wengine ndio walikuwa jamaa zake wakati ule, Hayati JPM akiwa kama Amiri Jeshi Mkuu, na Mabeyo akiwa kama CDF.
• Hili suala la kushirikishwa kwa wengine, mbona inawezekana kabisa ikawa walishirikishwa kwa njia nyingine za kimawasiliano, mimi nijuavyo, hakuna hospitali inayoeleweka itaruhusu lundo la watu bila kujali vyeo vyao wakajazane wodini kwa mgonjwa, huo utakuwa ni usumbufu kwa mgonjwa usiotakiwa.
Kwangu, kama wakati wa kifo cha Hayati JPM pasingekuwepo na ugonjwa wa Corona, hapo ningeweza kuamini hizi rumours za mwendazake kuondolewa na wajanja, lakini kama Corona ilikuwepo, na ikaondoka na baadhi ya wasaidizi wa Hayati JPM, sioni kwanini isingemuondoa na JPM ikiwa hakuwahi kuchukua tahadhari zozote za kisayansi kujikinga dhidi ya ule ugonjwa.
Hata sijachagua maswali ya kukujibu, ngoja niendelee...Umenijibu kwa wepesi sana huku ukiwa na hoja ingine mfukoni!
Labda ungenijibu maswali muhimu kuliko haya uliyoamua kuyachagua kidogo ningekuelewa!
Je!
Nchi ilikuwa chini ya uongozi wa nani wakati wote wa ugonjwa hadi kifo cha JPM?
Je!
Katiba inasema nini kuhusu hilo?
Kama Mabeyo anatuambia Makamu wa Rais wala waziri mkuu hawakuwa na taarifa hadi walipopigiwa simu ili kutaarifiwa juu ya kifo!
Ni kina nani walikuwa wakiratibu mambo hayo yote?
Je!
Serikali ilikuwa chini ya amri za jeshi?
Kuhusu Dokta Janabi na uwepo wake muda woote wa Magufuli akiugulia pale.Je ni nani hasa na alikuwa wapi daktari maalumu wa Marehemu Rais Magufuli?
Na ni nini ilikuwa uwajibikaji na uhusika wake kwenye tukio zima?
Msiwe mnakimbilia kutoa majibu mepesi kwenye mambo mazito kama haya bila kwanza kutanguliza tafakuri.
Na ndio maana nimeunganisha tukio la kifo cha kijana pekee wa Mabeyo kwenye ile ajali baada tu ya muda mfupi wa kifo cha JPM kupita na nikasema hiyo ndio Karma!
Magufuli alifariki akiwa peke yake bila hata mke wake kuitwa ili kuja kushuhudia saa za mwisho za mumewe!
Walikuwa wakiitana kina Mabeyo na kamati yao tu!
Khe!
Mi naongezea kuhusu nchi ilikua chini ya nani wakati anaumwa.Umejibu kitaalamu sana, hujaacha hata chembe ya mashaka. Kongole denoo JG
Niongeze tu kusema JPM alikuwa na underlying conditions kama HIV, alifungwa defibrillator ambayo ilikuwa tayari chakavu na vilevile alikuwa na ka mental fulani. Hamna namna angeweza kukatiza mbele ya COVID-19 hasa hasa kwa namna alivyokuwa anapuuza kinga za kitaalamu kama social distancing na kuvaa barakoa.
Tusianze kutafuta mchawi, jamaa alikuwa chuma chakavu tu
Ila wakati wake VP alikua kama bosheni ndo maama kama sio busara za Mabeyo pengine Vasco Dagama asingekua Rais.Hata sijachagua maswali ya kukujibu, ngoja niendelee...
- Nchi inakuwa chini ya uongozi wa VP, hili lipo kikatiba.
-