Maswali kumi kwa Prof. Kabudi

Maswali kumi kwa Prof. Kabudi

liljeff87

Senior Member
Joined
Jan 3, 2016
Posts
174
Reaction score
85
MASWALI KUMI KWA PROF. KABUDI

Ameandika Dr. Farrell Jnr.

[HASHTAG]#Moja[/HASHTAG]

Unajuwa kuwa Prof. Kabudi ni waziri wa masuala ya bara na hana mamlaka yoyote visiwani. Yaani sheha wa shehia ya Tomondo anaweza kumnyima barua ya ukaazi na isiwe chochote. Hana haki ya kupiga kura zaidi ya yale ya muungano tu, na Wizara yake visiwani ina sehemu ndogo sana ya uwakilishaji kwa sababu ya uwepo wa katiba ya Zanzibar, Wizara ya Sheria ya Zanzibar, Mwanasheria Mkuu Zanzibar na Waziri wake anaeteuliwa na huyo anaemuota kuwa memba wa mawaziri Bara.

[HASHTAG]#Mbili[/HASHTAG]

Anaemuita Rais wa Zanzibar kuwa member tu wa Baraza la Mawaziri la Muungano, hakupigiwa kura hata moja na wananchi si Tanganyika wala Zanzibar lakini ana nguvu ya kuidogosha nafasi adhim ya Rais wa Zanzibar anaechaguliwa katika Uchaguzi Mkuu akibeba maslahi ya kikatiba yanayotambua uwepo wake, BLW na Mahakama Kuu Zanzibar. Kuna “motive” ipi ya kumdogosha mdau mmoja wa muungano na kumtukuza mwengine wakati tuna mfumo uliotukuza heshima za pande mbili tokea kuasisiwa kwake?

[HASHTAG]#Tatu[/HASHTAG].

Kama Rais wa Zanzibar ni memba wa Baraza la Mawaziri tu kwa tafsiri ya kuwa nae ni Waziri asie na wizara maalum basi atujulishe anateuliwa na nani katika nafasi hio kama alivyoteuliwa yeye na wote akiwamo makamo wa Rais anaemteua mwenyewe Rais akiwa kama mgombea mwenza wake? Jee kuna mwengine anaeingia pale kinyemela bila ya uteuzi wa huyo anaeitwa Jemedari Mkuu zaidi ya Rais wa Zanzibar?

[HASHTAG]#Nne[/HASHTAG]

Jee Rais wa Jamhuri anaeongoza vikao vya Baraza la Mawaziri nae anaingia pale akiwa kama nani? Waziri? Au Rais wa Jamhuri? Jee haiwezekani basi kuwa na Rais mwengine anaeingia katika Baraza la Mawaziri kwa sababu ya kofia yake ya Urais tena wa kuchagulia, akiwa na vyombo vyote vya heshima na mamlaka ya Urais ikiwamo katiba, vyombo vya kutunga sheria na mahakama?

[HASHTAG]#Tano[/HASHTAG]

Tuseme kuwamo kwa mwanasheria mkuu wa serikali katika Bunge kuna mhesabu nae kuwa mbunge asie na jimbo au anawakilisha mamlaka yake yanayomvyesha kofia ya kuwa sehemu ya Bunge? Bunge linaitambua nafasi ya Mwanasheria Mkuu kama nani bungeni? Jee Rais wa Zanzibar katika BLW anaingia kwa kofia ipi?

[HASHTAG]#Sita[/HASHTAG].

Kabla ya hapo Rais wa Zanzibar aliingia kama nani? Jee nae kwa vile ni Makamo wa Rais wakati ule hakuwa sehemu ya Baraza la Mawaziri kwa tafsiri ya kishabik ya Kabudi? Hauoni huu ubabaishaji na uhadaifu wa tafsiri holela ni sehemu ya kero zilizosimamiwa na kamati aliokuwa nae ni mjumbe ilioweka wazi ubabaishaji huu na kuja na formula ya serikali tatu? Basi anasahau kuwa Rais wa Zanzibar ana dhamana ya Umakamo Mwenyekiti wa Chama kinachoongoza nchi?

[HASHTAG]#Saba[/HASHTAG]

Unafaham huwa huyu huyu Profesa Kabudi ndie aliekuwa katika kamati ya Warioba iliochambua mashaka ya katiba ya Muungano na Zanzibar na kufika hadi wakaja na mfumo ambao hakuna yoyote hadi leo alieuikiuka wa serikali tatu huku ya muungano yakiwa machache tena ya pamoja.

[HASHTAG]#Nane[/HASHTAG]

Alilolisema hasa ya kuwa Rais wa Muungano ana haki ya kuingilia na kutoa amri kwa waziri wa SMZ haoni linakwenda kinyume na kauli ya aliemteua kuwa hana mamlaka ya kuingilia ya Zanzibar ikiwamo la Jecha kwa sababu hayamo katika kapu la muungano hasa kwa vile ndie Jemedari Mkuu wa Jamhuri.

[HASHTAG]#Tisa[/HASHTAG]

Jee kuna Waziri anabeba heshima sawa na Rais wa Zanzibar akiwa Zanzibar au Bara, akabeba mamlaka aliokuwa nayo, akachaguliwa kwa kura, akabeba ukuu wa nchi, heshima ya ulinzi kama mkuu wa nchi, katiba inayompa mamlaka ya kugawa mikoa na wilaya atakavyo, uwezo wa kuteua Mawaziri wengine, na protocol nzima ya kijeshi inayolinda heshima ya ukuu wake ikiwamo bendera ya mamlaka yake na ya utambulisho wa nafasi yake katika mamlaka yake?

[HASHTAG]#Kumi[/HASHTAG]

Jee wanakosea watu wanapowaita manyumbu maana muna kiongozi na safu yake, lakini akatokea mtu mmoja, mteule asie na jimbo wala asiejuwa uchungu wa kutafuta kura leo akasimama na matamshi holela likiwamo hili la muliesimama mukamfutia uchaguzi alieshindwa lakini basi tu abaki ili aje adhalilishwe kuwa na nafasi sawa na wateule wengine kama yule Shonza, au Mbarawa alieshindwa uchaguzi wa ubunge Pemba alikokuita vichochoroni na vijiwe i au Kabudi anaeona uteuzi wake ni sawa na nafasi adhim ya Rais wa Zanzibar na mamlaka yake kwa udhalili wa kiasi hiki?
 
Mheshimiwa umeongea kwa hisia tu. Kasome tena katiba ya JMT aliyonukuu Mheshimiwa Kabudi. Kama amenukuu vipengere kutoka mukichwa basi tueleze ni vipi na sahii vingesemaje.
 
Limewauma eeh?? Kabla hamjampigia kura shein aliteuliwa pale dodoma, kwahiyo kinachofanyika wakati mnapiga kura ni kuwafanya tu mjisikie vizuri kuwa na nyie mnachagua raisi
 
Ni nchi, sio nchi?
Yesu niMungu, sio Mungu?

Yameanza tena. wakikaa wenyewe maCCM hayaoni hayo mapungufu, yanashangilia tu kama mavuvuzela yanayopulizwa na chimps
 
Mheshimiwa umeongea kwa hisia tu. Kasome tena katiba ya JMT aliyonukuu Mheshimiwa Kabudi. Kama amenukuu vipengere kutoka mukichwa basi tueleze ni vipi na sahii vingesemaje.
Katiba ya SMZ inamtambua Shein... kama katiba zakinzana rudini kwenye msingi (hati ya muungano). Hakuna katiba iliyo na hadhi zaidi ya nyingine katika uvuli wa Muungano.
 
Mheshimiwa umeongea kwa hisia tu. Kasome tena katiba ya JMT aliyonukuu Mheshimiwa Kabudi. Kama amenukuu vipengere kutoka mukichwa basi tueleze ni vipi na sahii vingesemaje.

Mabadiliko ya Katiba ya Zanzibar hayakuwa na nguvu yoyote kisheria kwani bado Zanzibar katika katiba ya JMT sio Sovereign state A sovereign state is, in international law, a nonphysical juridical entity that is represented by one centralized government that has sovereignty over a geographic area. ... It is also normally understood that a sovereign state is neither dependent on nor subjected to any other power or state., ni jambo la kusikitisha sana kuona Wazanzibar hadi leo hawatambui kuwa muungano ndiyo ulifanya wasiwe sovereign na kwamba wao ni sehemu ya JMT.
 
MASWALI KUMI KWA PROF. KABUDI

Mkuu, ukikubaliana na fact ya kisheria kwamba rais wa JMT amekasimu mamlaka kwa rais wa Zanzibar, basi maswali yote hayo uliyoorodhesha yanakuwa yamejibiwa kwa mkupuo. Kwa ufupi, rais wa Zanzibar hana nguvu yoyote, ndani na nje ya Muungano, mbele ya rais wa JMT
 
Hivi Wabunge wa kutoka Zanzibar wakiwa Bungeni pale Dodoma huwa wanawauliza maswali Mawaziri mambo fulani fulani kuhusu Zanzibar hata yasiyo na Muungano na hujibiwa?
 
Mbunge kutoka Zanzibar huja kwa kofia ya JMT hivyo ni haki kuuliza suala lolote la jimbo lake na la kimuungano kama ambavyo mbunge kutoka Ukerwe kwa mfano, angeliuliza.
 
Hapo hakuna swali gumu.
Tutofautishe hulka ya MTU na facts.
Arrogance ya prof haifanyi ukweli kuwa uongo.
Wapo kibao wanaoingia baraza LA mawaziri kwa nafasi zao, sio lazima kuteuliwa.
Haya mambo ni vema kuweka records sawa bin sawia kuliko kutegemea zaidi utashi na busara za viongozi.Lakini tukikaa kuyaonea aibu kuyasemea na kuyajua, wachache wanaoujua ukweli bayana wasipokuwapo tutapata shida.
 
Mbunge kutoka Zanzibar huja kwa kofia ya JMT hivyo ni haki kuuliza suala lolote la jimbo lake na la kimuungano kama ambavyo mbunge kutoka Ukerwe kwa mfano, angeliuliza.
Swali langu lipo kwa mambo yasiyo ya Muungano huwa huwa wanauliza na kujibiwa na Mawaziri wasio wa Muungano?
 
ati alikuwepo kwenye tume ya katiba ikaja na mapendekezo ya muungano wa sirikali tatu!imenikumbusha yule aliyelikana andiko lake la Phd
 
MASWALI KUMI KWA PROF. KABUDI

Ameandika Dr. Farrell Jnr.

[HASHTAG]#Moja[/HASHTAG]

Unajuwa kuwa Prof. Kabudi ni waziri wa masuala ya bara na hana mamlaka yoyote visiwani. Yaani sheha wa shehia ya Tomondo anaweza kumnyima barua ya ukaazi na isiwe chochote. Hana haki ya kupiga kura zaidi ya yale ya muungano tu, na Wizara yake visiwani ina sehemu ndogo sana ya uwakilishaji kwa sababu ya uwepo wa katiba ya Zanzibar, Wizara ya Sheria ya Zanzibar, Mwanasheria Mkuu Zanzibar na Waziri wake anaeteuliwa na huyo anaemuota kuwa memba wa mawaziri Bara.

[HASHTAG]#Mbili[/HASHTAG]

Anaemuita Rais wa Zanzibar kuwa member tu wa Baraza la Mawaziri la Muungano, hakupigiwa kura hata moja na wananchi si Tanganyika wala Zanzibar lakini ana nguvu ya kuidogosha nafasi adhim ya Rais wa Zanzibar anaechaguliwa katika Uchaguzi Mkuu akibeba maslahi ya kikatiba yanayotambua uwepo wake, BLW na Mahakama Kuu Zanzibar. Kuna “motive” ipi ya kumdogosha mdau mmoja wa muungano na kumtukuza mwengine wakati tuna mfumo uliotukuza heshima za pande mbili tokea kuasisiwa kwake?

[HASHTAG]#Tatu[/HASHTAG].

Kama Rais wa Zanzibar ni memba wa Baraza la Mawaziri tu kwa tafsiri ya kuwa nae ni Waziri asie na wizara maalum basi atujulishe anateuliwa na nani katika nafasi hio kama alivyoteuliwa yeye na wote akiwamo makamo wa Rais anaemteua mwenyewe Rais akiwa kama mgombea mwenza wake? Jee kuna mwengine anaeingia pale kinyemela bila ya uteuzi wa huyo anaeitwa Jemedari Mkuu zaidi ya Rais wa Zanzibar?

[HASHTAG]#Nne[/HASHTAG]

Jee Rais wa Jamhuri anaeongoza vikao vya Baraza la Mawaziri nae anaingia pale akiwa kama nani? Waziri? Au Rais wa Jamhuri? Jee haiwezekani basi kuwa na Rais mwengine anaeingia katika Baraza la Mawaziri kwa sababu ya kofia yake ya Urais tena wa kuchagulia, akiwa na vyombo vyote vya heshima na mamlaka ya Urais ikiwamo katiba, vyombo vya kutunga sheria na mahakama?

[HASHTAG]#Tano[/HASHTAG]

Tuseme kuwamo kwa mwanasheria mkuu wa serikali katika Bunge kuna mhesabu nae kuwa mbunge asie na jimbo au anawakilisha mamlaka yake yanayomvyesha kofia ya kuwa sehemu ya Bunge? Bunge linaitambua nafasi ya Mwanasheria Mkuu kama nani bungeni? Jee Rais wa Zanzibar katika BLW anaingia kwa kofia ipi?

[HASHTAG]#Sita[/HASHTAG].

Kabla ya hapo Rais wa Zanzibar aliingia kama nani? Jee nae kwa vile ni Makamo wa Rais wakati ule hakuwa sehemu ya Baraza la Mawaziri kwa tafsiri ya kishabik ya Kabudi? Hauoni huu ubabaishaji na uhadaifu wa tafsiri holela ni sehemu ya kero zilizosimamiwa na kamati aliokuwa nae ni mjumbe ilioweka wazi ubabaishaji huu na kuja na formula ya serikali tatu? Basi anasahau kuwa Rais wa Zanzibar ana dhamana ya Umakamo Mwenyekiti wa Chama kinachoongoza nchi?

[HASHTAG]#Saba[/HASHTAG]

Unafaham huwa huyu huyu Profesa Kabudi ndie aliekuwa katika kamati ya Warioba iliochambua mashaka ya katiba ya Muungano na Zanzibar na kufika hadi wakaja na mfumo ambao hakuna yoyote hadi leo alieuikiuka wa serikali tatu huku ya muungano yakiwa machache tena ya pamoja.

[HASHTAG]#Nane[/HASHTAG]

Alilolisema hasa ya kuwa Rais wa Muungano ana haki ya kuingilia na kutoa amri kwa waziri wa SMZ haoni linakwenda kinyume na kauli ya aliemteua kuwa hana mamlaka ya kuingilia ya Zanzibar ikiwamo la Jecha kwa sababu hayamo katika kapu la muungano hasa kwa vile ndie Jemedari Mkuu wa Jamhuri.

[HASHTAG]#Tisa[/HASHTAG]

Jee kuna Waziri anabeba heshima sawa na Rais wa Zanzibar akiwa Zanzibar au Bara, akabeba mamlaka aliokuwa nayo, akachaguliwa kwa kura, akabeba ukuu wa nchi, heshima ya ulinzi kama mkuu wa nchi, katiba inayompa mamlaka ya kugawa mikoa na wilaya atakavyo, uwezo wa kuteua Mawaziri wengine, na protocol nzima ya kijeshi inayolinda heshima ya ukuu wake ikiwamo bendera ya mamlaka yake na ya utambulisho wa nafasi yake katika mamlaka yake?

[HASHTAG]#Kumi[/HASHTAG]

Jee wanakosea watu wanapowaita manyumbu maana muna kiongozi na safu yake, lakini akatokea mtu mmoja, mteule asie na jimbo wala asiejuwa uchungu wa kutafuta kura leo akasimama na matamshi holela likiwamo hili la muliesimama mukamfutia uchaguzi alieshindwa lakini basi tu abaki ili aje adhalilishwe kuwa na nafasi sawa na wateule wengine kama yule Shonza, au Mbarawa alieshindwa uchaguzi wa ubunge Pemba alikokuita vichochoroni na vijiwe i au Kabudi anaeona uteuzi wake ni sawa na nafasi adhim ya Rais wa Zanzibar na mamlaka yake kwa udhalili wa kiasi hiki?

Haya mambo ya muungano tutaendelea kubishana na tafsiri yake miaka nenda rudi na hakuna hata siku moja maelezo exhausitive yatapatikana. Suluhisho, la mambo haya ni kuwepo kwa serikali mbili ya Tanganyika, na Zanzibar full autonomous. Mambo ya Muungano yaundiwe tume ya kuyaratibu. Mkuu wa Tume hiyo apewe mamlaka, na bajeti ambayo itachangiwa proportionally na pande zote. Mkuu wa Tume awe answerable kwa Maraisi wawili wa pande zote za Muungano. Pia mambo ya Muungano yapunguzwe, na ikiwezekana tubakie na Ulinzi na Usalama, Polisi, Uhamiaji, Fedha, na Elimu.
 
Mgombea URais wa CCM Zanzibar anateuliwa Dodoma. Kipindi kileee Karume alishika nafasi ya tatu kwa kura zilizopigwa Zanzibar ila Dodoma ikasema "huyu ndie Bwana aliyependezwa nae", na wazenji wakanywea kama vile hakuna kura zilizopigwa kwao huko. Acha Kabudi aendelee kuwashushua tu na hamtafanya lolote.
 
Lugha ya sheria inawezekana ndio tatizo,kiswahili si lugha ya sheria,siku zote tumejiingiza kwenye mtego wa kukisia badala ya uhakika.Na hili Bunge letu kwa kutaka mtelemko wametunga na kujadiri miswaada iliotungwa kwa English nao wakiijadiri katika kiswahili.Tofautisha mijadala ya ma Bunge ya Kenya,Uganda,Malawi,Zambia na letu japo nchi zote zipo Jumuiya ya Madola.
Kiswahili nini maana sahihi ya a "sovereign state" je katika kiswahili Zanzibar ni "sovereign state"? kama sio ni kwanini?na kama ndio ni kwa lipi?
Kupoteza maana au tembo kulitia maji ni mmoja ya sababu ya upungufu wa neno lenye maana mmoja iliyo sawa na sahihi.
Kwa mfano kwenye Kiingereza neno Nationality na Citizenship japo yanaonekana kama yana lengo moja lakini maana yake ni tofauti.
Kuna wakati tunadai mikataba ni bataili labda sio kwa makusudi lakini sababu ya matumizi ya maneno yasio sahihi,au kuyapa sifa isiyostahili.
Kila kukicha wanasiasa wanatuhimiza tukuze kiswahili na tuongeze wigo hilo halina taabu,wanasahau kuwa kiswahili ni somo mmoja tu,mbona mwanafunzi huanza kujifunza masomo mapya kama hesabu na fizikia kwanini iwe English inazidi kuthoofika hasa kwenye shule za serikali?Ajira nyingi nje hatupati sababu hiyo,nayo makampuni au tasisi za kimataifa zinazofanya hapa nazo zina mashaka na communication skills zetu katika English.
Hii mijadala inayoendelea bila kuisha kama Zanzibar ni nchi au hapana ni sababu tunatumia vitabu tofauti katika kujibu swali,kwa staili hii hatutafikia jawabu la wote.Ni heri ya kumtafuta paka mweusi kwenye giza totolo na hali hayupo.
 
Back
Top Bottom