Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,508
- 6,888
Kiukweli, bado raisi wa Zanzibar ana chaguliwa Dodoma hilo hata ubishe vipi but ndio jibu lake; unakumbuka uchaguzi wa mwaka 2000, ccm Zanzibar iliwaweka kina Dr. Bilali kwenye top 5 candidates ili kupeperusha bendera ya rais wa Zanzibar na Karume Jr wala hakufikiriwa kabisa, all the sudden Karume Jr ndiye aliyekuja kua mgombea na hatimae kua rais wa Zanzibar na Dr. Bilali akawa mgombea mwenza wa muungano, hapo bara tayari ilichagua (for this case Mkapa ndiye aliye mchagua). Uchaguzi wa 2010 again, nyie huko kweny Zanzibar mliisha apa kwa miungu yenu kwamba hakuna Mpemba atakae kua rais wa visiwa hivyo, kama kawaida ccm Zanzibar ilikua na majina yake, Dodoma kama kawaida ilimchagua Mpemba Dr. Shein kua mgombea uraisi Zanzibar (in this case Kikwete ndiye aliyempa uraisi Dr. Shein).
Mkiwa kwenye bunge lenu huko Zanzibar wabunge wote kwa pamoja hua mnausema vibaya muungano but wabunge wa ccm wakifika Dodoma tu akili zote huahamia Kidodoma Dodoma, bado nina amini hata Jecha alishinikizwa na BARA kufanya alicho kifanya, nina amini hivyo and this si why wakati team ya mpira wa miguu Zanzibar ilipofanya vizuri kwenye mashindano ya CECAFA the former president Kikwete ali tweet kuipongeza, JUSA kwa kujua mambo fulani alimlaumu sana Kikwete kwa matokeo ya uchaguzi mkuu ulio pita hadi Zitto aliingilia kati. Bado nina amini Zanzibar sio nchi, labda jibu la mwisho, passport yako ya kwenda nje ya nchi inatengenezewa Dar au Zanzibar!?