Maswali kuhusu simu na kompyuta

Tripp

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2018
Posts
916
Reaction score
1,586
Nikiwa mbobezi katika masuala ya simu hasa Android na kompyuta nakaribisha maswali kuhusiana na matatizo hasa ya software tu na ushauri wa App muhimu kuwa nazo kwenye simu.

Je, simu yako ina nafasi ndogo?

Je unaitaji kuhifadhi mafaili yako milele?

NAKARIBISHA MASWALI........
 
naomba msaada juu ya ku flash sim, pia application zinazotumika kuflash ikiwezekana uniambie zinavyopatikana for free.
 
Naomba kuuliza nina simu aina ya Tecno W5 je! Naweza nikai update ikatumia Androd 8.1! kwa sasa ina 6.0

Mwanza!!
 
Namna ya kuongeza nafasi ya Simu...
2 kubadili imei
 
naomba msaada juu ya ku flash sim, pia application zinazotumika kuflash ikiwezekana uniambie zinavyopatikana for free.
Maelezo sijajua unataka app za kuflash simu au unataka kuflash simu?
 
Namna ya kuongeza nafasi ya Simu...
2 kubadili imei
Kuongeza nafasi download app inaitwa cloud.mail.ru ....Kubadili imei issue inategemea na aina ya simu yenyewe kwa zaidi ni PM
 
Hapana haijawekwa kwa upgrade ya android 8 hapo wamemaliza
Naomba kuuliza nina simu aina ya Tecno W5 je! Naweza nikai update ikatumia Androd 8.1! kwa sasa ina 6.0

Mwanza!!
 
Mkuu ungetuwekea hapa list ya hizo application tunufaike wote

End Justify Mean
Mkuu files za miracle box ni vigumu kuziweka hapa....sio app za android
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ