Hbari wakuu, naombeni msaada wa viswali vifuatavyo!
1. Nin tofauti ya online na offline version?
2. je nikitengenezewa domain/website hapa tz yaan mfano, sungita.co.tz je baaday naweza kuitengnezea application for androids phones na devices zngn?
mm ninachojua kuhusu online version, km ni app au software lazime ufanyaj kaz wake utumie intetnet bila net haiwez fanya kaz.. lakn km ni offline inafanyakaz bila kutumia interent...
Kama umetengeneza app yako unataka kuiweka kwenye playstore ya goggle au apple juu ni hatua gan unazozifwata
Na kuna gharama yeyote unazopaswa kulipia au mashart ya kufwata
Kama umetengeneza app yako unataka kuiweka kwenye playstore ya android au apple juu ni hatua gan unazozifwata
Na kuna gharama yeyote unazopaswa kulipia au mashart ya kufwata