Maswali baada ya uchaguzi mdogo Igunga

Ulimakafu

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Posts
31,965
Reaction score
13,944
Pamoja na ushindi wa CCM huko Igunga,mimi nimebaki na maswali haya:
1.Matumizi ya fedha yaliendana na taratibu za gharama za uchaguzi?
2.Polisi na Usalama wa Taifa walitenda haki sawa?
3.Viongozi wa kiserikali walioshiriki kampeni walitumia gharama na muda wa nani?
4.Demokrasia ilitendeka?
5.Ni kwa nini katika chaguzi watu chi ya 50% tu ndio wanajitokeza kupiga kura?
 
Na hakika raslimali ziliteketea vilivyo
 
Majibu ya maswali yote ni "HAPANA".
Haya yote ni kutokana na ubovu wa katiba yetu.
 
Majibu ya maswali yote ni "HAPANA".
Haya yote ni kutokana na ubovu wa katiba yetu.
La katiba ni muhimu sana mkuu,ila jamaa wamekaa mkao wa kuichakachua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…