Maswali anayoulizwaga waziri mkuu huwa hapewi kabla?

bush crazy

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
758
1,023
Wakuu habari,
Najiulizaga mbona Pm hujibu maswali Kama vile anaufahamu nayo kwa undani hivyo naomba kujuzwa je hupewa maswali kabla ili ajiandae.

Kama huwa hapewi kabla kwanini wanao muuliza huandaliwa na huwa hakuna random pointing kwa wauliza maswali?
 
Anatakiwa kuulizwa maswali ya "sera" tu..kwa hiyo ni rahisi kwake kujiandaa katika engo hiyo..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Bunge la Job ni magumashi tuu
 
Maswali ya papo kwa hapo huwa ni siku ya alhamisi..kinachotokea ni kuwa siku ya jumatano mchana ama jion wabunge wanaotaka kumuuliza maswal hayo huwa wanaenda kujiandikisha sehem maalam hlf ikifika alhamis waziri mkuu kama yupo ndiyo huanza kujibu maswali hapo kwa hapo lakini waulizaj wanakua wamiandaa na siyo maswali ya takwim ndiyo maana unaona waziri akijibu ni kama anajieleza hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…