The Tomorrow People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 2,689
- 2,859
Kamanda umeeleza utumbo mtupu. Uozo wenye harufu mbaya niseme.Akiwa waziri magufuli alihonga nyumba za serikali. Sasa akiwa rais atahonga nn?
Kumbuka rais wa awamu ya tatu alihonga wizara ya fedha kwa ajili ya dili la mwanamke.
Rais wa awamu ya nne alikuwa anahonga wilaya na mikoa.
Ccm inanuka uchafu haisafishiki. Magufuli ni dodoki chafu
Umesema vyema,The tommorow people! !
Maswali haya hakuna anayeweza jibu katika makamanda wetu, kwa sababu ni ukweli mtupu. Kwa sababu tunafanya siasa za ulaghai kwa wananchi makamanda watapita pembeni kimya kimya au kubadilisha topic hii na kuleta uozo mwingine tofauti. Mimi ni mmojawapo lakini nikiulizwa maswali hayo siwezi yajibu
The tommorow people! !

Kuna watu wanasema CCM haijafanya chochote kwa miaka 54. Ni sawa tu. Ila je, somo la Civics linafundishaje? CCM ilianzishwa 1961 au 1977?
¤Kama inazungumziwa tokea TANU basi ni kuanzia 1954 (kwa hiyo miaka 61). Kama ni CCM basi ni kuanzia 1977 (miaka 38).
Kama ni kuanzia mfumo wa vyama vingi (mwaka 1992) basi ni miaka 23. Kama ni tokea uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi (1995) basi ni miaka 20.
¤Bila kujali ni 61, 54, 38, 23 au 20 kuna maswali magumu ma-3 (kama HARD TALK ya BBC enzi za Tim Sebastian)
1. Lowassa na Sumaye (walio UKAWA hivi sasa) walikuwa mawaziri wakuu kwa jumla ya miaka 13. Je, muda ambao CCM haijafanya lolote inajumuisha hiyo miaka 13?
2. Lowassa si anasema alisimamia shule za kata, kuvunja mkataba wa City Water, kuvuta maji Kahama kutoka Ziwa Victoria na ujenzi wa UDOM. Je, alisimamia akiwa chini ya chama gani? APPT Maendeleo?
3. Vyama vyote vikubwa na maarufu zaidi nchini vinatumia jina na sauti ya Mwalimu Nyerere kwenye matangazo yao ya audio na mabango. Miaka hiyo ambayo CCM haijafanya lolote je, inajumuisha miaka 23 ambayo Mwalimu Nyerere alikuwepo madarakani kama rais (1961/1962-1985)? Je, inajumuisha pia miaka mi-5 ya ziada ambayo Mwalimu Nyerere aliendelea kuwa Mwenyekiti wa CCM (1985-1990)?
Ukiona mtu mzima anakuwa muongo ,hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba 10,halafu hawa wanaosema sijui miaka 50 ukokotozi wao unazingatia vigezo gani,halafu Mkapa akiwaambia ukweli wanaanza kulilia kuwa wanatukanwa,hata hizo degree za usanii wamezipata bure kwa juhudi ya serikali hiyo hiyo wanayodai kuikashifu na walikuwa wao ndio viongozi,kama huku ulishindwa basi hufai kuwa kiongozi kwa mara ya pili,hawa shidaa yao ni kupiga dili tu,kwani wametumia fedha za wafadhili wao baada ya kuwaahidi kuwalipa wakiingia Ikulu na ndio maana wanatumia nguvu zao zote kujaribu kupata hiyo nafasi ili walipe madeni,na safari hii imekula kwao tena,wengi wao baada ya October 25 watakuwa historia.Kuna watu wanasema CCM haijafanya chochote kwa miaka 54. Ni sawa tu. Ila je, somo la Civics linafundishaje? CCM ilianzishwa 1961 au 1977?
¤Kama inazungumziwa tokea TANU basi ni kuanzia 1954 (kwa hiyo miaka 61). Kama ni CCM basi ni kuanzia 1977 (miaka 38).
Kama ni kuanzia mfumo wa vyama vingi (mwaka 1992) basi ni miaka 23. Kama ni tokea uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi (1995) basi ni miaka 20.
¤Bila kujali ni 61, 54, 38, 23 au 20 kuna maswali magumu ma-3 (kama HARD TALK ya BBC enzi za Tim Sebastian)
1. Lowassa na Sumaye (walio UKAWA hivi sasa) walikuwa mawaziri wakuu kwa jumla ya miaka 13. Je, muda ambao CCM haijafanya lolote inajumuisha hiyo miaka 13?
2. Lowassa si anasema alisimamia shule za kata, kuvunja mkataba wa City Water, kuvuta maji Kahama kutoka Ziwa Victoria na ujenzi wa UDOM. Je, alisimamia akiwa chini ya chama gani? APPT Maendeleo?
3. Vyama vyote vikubwa na maarufu zaidi nchini vinatumia jina na sauti ya Mwalimu Nyerere kwenye matangazo yao ya audio na mabango. Miaka hiyo ambayo CCM haijafanya lolote je, inajumuisha miaka 23 ambayo Mwalimu Nyerere alikuwepo madarakani kama rais (1961/1962-1985)? Je, inajumuisha pia miaka mi-5 ya ziada ambayo Mwalimu Nyerere aliendelea kuwa Mwenyekiti wa CCM (1985-1990)?
Hii ni kudhibitisha kuwa kama mtu hana akiri ya maiti ni ngumu sana kuwa mwanaccm au shabiki wa ccm.Kuna watu wanasema CCM haijafanya chochote kwa miaka 54. Ni sawa tu. Ila je, somo la Civics linafundishaje? CCM ilianzishwa 1961 au 1977?
¤Kama inazungumziwa tokea TANU basi ni kuanzia 1954 (kwa hiyo miaka 61). Kama ni CCM basi ni kuanzia 1977 (miaka 38).
Kama ni kuanzia mfumo wa vyama vingi (mwaka 1992) basi ni miaka 23. Kama ni tokea uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi (1995) basi ni miaka 20.
¤Bila kujali ni 61, 54, 38, 23 au 20 kuna maswali magumu ma-3 (kama HARD TALK ya BBC enzi za Tim Sebastian)
1. Lowassa na Sumaye (walio UKAWA hivi sasa) walikuwa mawaziri wakuu kwa jumla ya miaka 13. Je, muda ambao CCM haijafanya lolote inajumuisha hiyo miaka 13?
2. Lowassa si anasema alisimamia shule za kata, kuvunja mkataba wa City Water, kuvuta maji Kahama kutoka Ziwa Victoria na ujenzi wa UDOM. Je, alisimamia akiwa chini ya chama gani? APPT Maendeleo?
3. Vyama vyote vikubwa na maarufu zaidi nchini vinatumia jina na sauti ya Mwalimu Nyerere kwenye matangazo yao ya audio na mabango. Miaka hiyo ambayo CCM haijafanya lolote je, inajumuisha miaka 23 ambayo Mwalimu Nyerere alikuwepo madarakani kama rais (1961/1962-1985)? Je, inajumuisha pia miaka mi-5 ya ziada ambayo Mwalimu Nyerere aliendelea kuwa Mwenyekiti wa CCM (1985-1990)?
Babu matusi hayasaidii. Hapa tumeshachomwa sindano inatuingia la msingi ni kujibu hoja kieleweke. Unafikiri matusi ndio yatatufanya twende ikulu. Unadanganywa jitambue acha ujinga wa kitoto.hapa tunaongea kwa maslahi mapana ya mama Tanzania sio ushabiki shabiki hapa.kama huwezi sepa zakoAcha upumbavu, at wewe ni mmoja wa makamanda, makamanda wa wapi? CCM? Acha ujinga na propaganda za ccmahapa. Unadhani ukijiita Kamanda huu upuuzi wako utakuwa na mashiko. Tunawajua ccm na propaganda zenu dhaifu. Watanzania tumekomaa. Makamanda tunajifahamu. Unadhani kuja hapa na fake ID, inatuzuia sisi kukujua wewe ninani? Acha propaganda dhaifu. Tumeshaamua, Ukiweka Magufuli na Jiwe tunachagua jiwe.
Haya ndio nimeyasema! Badala ya kujibu hoja na wewe unaanzisha hoja yako ndani ya hoja hii. tukiambiwa sisi ni malofa na wapumbavu kwa nini ukasirikeAcha kujifariji kwa hesabu rahisi kiasi hicho, tuambie kizuri kilichofanywa na CCM. Huduma za afya, elimu nchini zikoje!, thamani ya shiling yetu ikoje! uchumi je!
Mkuu kwani Mkapa wakati rais aliwahi kututangazia kusitishwa kwa vita dhidi ya Ujinga,maradhi na umasikini?Je hii vipi hailengi kujikomboa au kulikomboaTaifa na watanzania?Udumavu ni shida sanaUkiona mtu mzima anakuwa muongo ,hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba 10,halafu hawa wanaosema sijui miaka 50 ukokotozi wao unazingatia vigezo gani,halafu Mkapa akiwaambia ukweli wanaanza kulilia kuwa wanatukanwa,hata hizo degree za usanii wamezipata bure kwa juhudi ya serikali hiyo hiyo wanayodai kuikashifu na walikuwa wao ndio viongozi,kama huku ulishindwa basi hufai kuwa kiongozi kwa mara ya pili,hawa shidaa yao ni kupiga dili tu,kwani wametumia fedha za wafadhili wao baada ya kuwaahidi kuwalipa wakiingia Ikulu na ndio maana wanatumia nguvu zao zote kujaribu kupata hiyo nafasi ili walipe madeni,na safari hii imekula kwao tena,wengi wao baada ya October 25 watakuwa historia.
Mkuu usifikirie watu wote tu wajinga kama wewe na hatujui tunachotaka kukifanya?Kasome Rasimu ya pili ya mabadiriko ya katiba utajua tunataka nini na uadui wetu na ccm umetiwa petrol na nn?Hawa jamaa wanikumbusha kitabu cha the beuatiful one are not yet born, watu walikurupuka kufanya mabadiliko bila kujua ni nini wanataka, kesho yake wanamabiliko wakaonekana wakiendelea kupiga dili kama kawa kama dawa, naliona baada ya octoba 25, kama ugonjwa huu uliowapata watu ghafla wa kusahau haraka hautapata dawa.
Babu matusi hayasaidii. Hapa tumeshachomwa sindano inatuingia la msingi ni kujibu hoja kieleweke. Unafikiri matusi ndio yatatufanya twende ikulu. Unadanganywa jitambue acha ujinga wa kitoto.hapa tunaongea kwa maslahi mapana ya mama Tanzania sio ushabiki shabiki hapa.kama huwezi sepa zako