Maswali alfu lela na moja kwa Rais Kikwete | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maswali alfu lela na moja kwa Rais Kikwete

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mpangwa1, Sep 14, 2010.

 1. m

  mpangwa1 JF-Expert Member

  #1
  Sep 14, 2010
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 279
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Malaria sugu na wezako mnaweza kuandaa deza kwa boss wenu iliaweze kujibu haya maswali
   
 2. m

  magee Senior Member

  #2
  Sep 14, 2010
  Joined: Jun 3, 2009
  Messages: 126
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  jibu rahisi.......wewe waweza kubali na kuamini kiti ulichokalia,na tena unanufaika nacho mwingine anaweza kukichukua kwa sanduku la kura????HAKUNA SERIKALI AFRIKA AMBAYO INAAMINI HILO,90% YA SERIKALI ZA AFRIKA VIONGOZI WAKE NI WABINAFSI,WAZANDIKI,WACHOYO,WAROHO WA MADARAKA,......HAWAKO TAYARI KUONA WANAPINDULIWA WAKO TAYARI KULINDA NAFASI ZAO KWA GHARAMA YEYETO HATA IKIBIDI KWA DAMU,KUIBA KURA,ULINZI WA SHEHE YAHAYA NK.
  NAKINACHOWAPAKICHWA ZAIDI KUENDELEA KUAMINI HILI NI NGUVU NDOGO YA MAAMUZI DHABITI,UJINGA,LACK OF INFORMATION KWA WAPIGA KURA.WHAT WE NEED TO CHANGE THE CURRENT POSITION IS EMPOWERNMENT!!!!!
   
Loading...