Maswali 10 muhimu kuhusu Kurefusha uume

Maswali 10 muhimu kuhusu Kurefusha uume

Elly255

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2017
Posts
884
Reaction score
1,432
Je uume wangu una urefu sahihi??

Ni swali ambalo kila mwanaume hujiuliza, ili kujiridhisha na kuwa mwenye kujiamini pale anapokutana na mwanamke

Yafuatayo ni majibu kwa maswali yote kuhusu uuume na uwezo wa kufanya tendo la ndoa kikamilifu.

Swali 1. Ni umri gani mwanaume huanza kusimamisha uume wake

Jibu : mwaka mmoja ama chini yake; baadhi watoto wa kiume huzaliwa huku mashine zao zikiwa zimesimama. Vipimo vya ultrasound vimeweza kuthibitisha hilo

Swali 2. Kama uume wako unakuwa umesimama muda mwingi kuliko kawaida, daktari wako atakupa ushauri gani ili kupunguza adha hiyo

Jibu: kusimama kwa uume kwa Zaidi ya masaa ma4 huleta maumivu , hivo mazoezi madogo ya kupanda ngazi ama kilima kidogo husaidia kupunguza damu kwenye mishipa ya uume na kuisambaza maeneo mengine ya mwili.

Swali 3. Size gani ya uume ni sahihi kiafya na katika kumridhisha mwanamke?

Jibu: wanaume wengi wanadhami uume mrefu ndio unaoridhisha Zaidi mwanamke, jibu ni kwamba Nchi 5 mpaka 6.5 zinatosha kabisa kiafya hivo usipate msongo wa mawazo kama una uume mfupi.

Swali 4. Je ukubwa wa miguu ya mwanaume ndio ukubwa wa uume wake?

Jibu: hapana, size ya uume wako hauna uhusiano kabisa na size ya miguu, vidole, pua ama kiungo chochote cha mwili. Japokuwa kama una uzito mkubwa na kitambo sehemu ya uume itafichwa na nyama za tumbo, kwahiyo kama una kitambi nashauri anza sasa kupunguza uzito wako ili kurefusha uume wako bila upasuaji.

Swali 5. Je ni kawaida uume kuwa umesimama wakati umelala?

Jibu: ndio ni kawaida kwa mwanume aliye na afya uume kusimama mara 4 mpaka 5 ndani y usiku mmoja, mara nyingi akiwa anaota. Kama huna sifa hizi basi jua kwamba unaumwa na unahitaji tiba haraka ili unusuru ndoa yako.

Swali 6.Je upasuaji au operation yaweza kusaidia kuongeza urefu wa uume wako.

Jibu: ni kweli, upasuaji husaidia kuongeza urefu wa uume ila kwa nchi kidogo sana chini nan chi moja, ni gharama ssana na hatari kwa afya yako wengie wao hupata maumivu makali yasioisha baada ya upasuaji.

Swali 7. Kupiga punyeto kunaleta raha sawa na kufanya ngono?

Jibu: Hapana, punyeto hudhhofisha misuli ya uume na kuleta raha ya muda mfupi tu, lakini tendo la ndoa ni tamu na huimarisha kinga ya mwili.

Swali 8. Pumbu kurudi ndani ya mwili na kunywea husaidia nini?

Jibu: kunywea kwa pumbu ama korodani husaidia kukinga mbegu zisiharibike kutokana na baridi kali,

Swali 9. Kupiga punyeto Zaidi ya mara 5 kwa week ni hatari kwa afya.

Jibu: ndio kupiga punyeto mara nyingi Zaidi inakuathiri kisaikologia na inapelekea usione thamani wala uhitaji wa mwanamke kwa tendo la ndoa maana tayari unaweza kujiridhisha mwenyewe.

Swali 10: Je ni salama kwa uume wangu kuwa umepinda upande mmoja.

JIBU: Ndio, hakuna tatizo kwa uume kupinda upande mmoja kulia ama kushoto, lakini kama kupinda huku kunaambatana na maumivu makali basi muone dactari wako harakamaana yaweza kuwa una tatizo la kiafya.

Nawasilisha:karibuni kwa michango yenu
penile-1.jpg
 
Ok

Nawasilisha:karibuni kwa michango yenuView attachment 824847
 
Acha tu nibak na hii 5, inches yang inanitosha
 
Ndio mkuu, kujiamini, lishe nzuri na utimamu wa kisaikologia inatosha kabisa kumridhisha mwanamke hata kama una inchi 4
 
Watu watapata tabu saaaaana..

Mtajidharau saaaana, ila mkijua kua mwanamke anaweza kuakomodeti mashine yoyote msingepata tabu kwenda kuongeza mashine.
 
Hivi ukiwa unafanya mapenzi unataka kumfurahisha nani mpaka uone uume wako ni mdogo au Mkubwa ? Raha unajipa mwenyewe
 
Kwa msamiati wa uume. Ingependeza ungetumia m.bo.o.
 
Back
Top Bottom