Maswali 10 ambayo Magufuli hawezi yajibu

Athanas0011

Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
26
Reaction score
35
Nimefuatilia kwa Makini mahojiano ya Mh Lowasa na BBC jana...bado napata shida kwa jinsi alivyobanwa na kutopewa nafasi ya kujenga Hoja kwenye swali lolote aliloulizwa.

Sasa Leo nasikia Dr. Magufuli nae anaingia kikaangoni.

Kama kweli BBC Swahili hawana lao jambo ninatarajia Magufuli kuulizwa maswali haya:

1. Mh umesema utaanzisha Mahakama ya MAFISADI na ilhali wewe mwenyewe unawanadi Mafisadi PAPA (Mf. Chenge, Ngeleja). Je, inawezekana uwanadi kisha uje Uwashtaki?

2. Kuhusu 'LIST OF SHAME' ambao ndio WALIOKUPENDEKEZA na kukusaidia kwa hali na mali kwenye Kampeni zako. Utawezaje kuwashughulikia katika Mahakama yako utakayoiasisi?

3. Wenzako waliopita (Mf. Kikwete) waliaminika SANA na Watanzania hasa walivyokua wanajinadi katika AHADI zao na hata KAULI MBIU ZAO; lakini wameonyesha kushindwa kwa kiasi kikubwa. Je, wewe utawezaje??

4. Mh. wewe hujawahi kushika Uongozi wa ngazi ya juu kama vile Uwaziri mkuu au Makamu ambao ndio kipimo SAHIHI cha uongozi. Je, unawaaminisha vipi Watanzania kua unaweza kuwaongoza kutoka kwenye UWAZIRI hadi URAISI.

5. Kama chama chako kilikuamini kua wewe ni Waziri bora kiutendaji, unafikiri ni kwa nini hukupendekezwa kua Waziri mkuu?

6. Watanzania wanaamini kua wewe haupo vizuri kwenye Maswala ya Uhusiano wa kimataifa kama alivyokua J. K. ambae alikua Waziri ni waziri wa mambo ya nje na alijijengea kufahamika vizuri. Je, unalizungumziaje hili??

7. Nafasi ya Uraisi ni nafasi inayohitaji BUSARA na HEKIMA nyingi. Wewe umeonekana ni Kiongozi mwenye maamuzi ya HARAKA katika utendaji wako. Je, unafikiri katika hali hio hutaliletea taifa Madhara??

8. CCM imeonekana kuchokwa na Watanzania walio wengi. Mfano ukashinda Uraisi, na ukashindwa kutekeleza ulioyaahidi; Je, utaweza kuwashauri Watanzania wachague Chama kingime maana CCM imeshindwa???
9. Unafikiri ni kwa nini waliokutangulia WALISHINDWA kwa kiasi kikubwa kutekeleza walioyaahidi?? Ni wazembe??

10. Vyama vingine vilishatoa kauli za kukubali matokeo kwamba aidha kushinda au kushindwa. Chama chako hakijawahi kukiri kuwa kuna kushindwa katika matokeo. Unazungumziaje jambo hili??? Ikitokea ukishindwa utakubali matokeo????

By Athanas Chriss
 
Mimi naweza kukujibu ila umetaka akujibu magufuli os subiri atakujibu
 
Ni maswali rahisi mno.

Endapo ataulizwa, atatoa majibu mazito ambayo yatamjengea umaarufu mkubwa katika kipindi hiki tunapoelekea kwenye siku ya kupiga kura.

Kila la heri Magufuli.
 
Samahani huwa ni muda gani? Na stesheni gani huonyesha
 
Ni maswali rahisi mno.

Endapo ataulizwa, atatoa majibu mazito ambayo yatamjengea umaarufu mkubwa katika kipindi hiki tunapoelekea kwenye siku ya kupiga kura.

Kila la heri Magufuli.

Maswali rahisi kwa Saddam Wa Kuwait hapana ni Wa Libya ????
Mtu amewasiliana na mgonjwa aliyeko ICU kwa email
Mhh ngoja tuone atajibu nini Leo
 
Komaa mkuu,Fisada ameahidi kuwaongezea posho.Usisahau kumPM TeamLowassa
 
Last edited by a moderator:
Mbona hayo maswali ni kama mlenda na pilau kwa magufuli.
 
Last edited by a moderator:
Komaa mkuu,Fisada ameahidi kuwaongezea posho.Usisahau kumPM TeamLowassa

Sisuburiii posho ya kupewa mwanaume mwenzangu zangu natafuta kwa jasho sio nyie mliowekwa kwenye Nyumba Masaki ya mwanaume ,,,hivi mkiliwa mtamlaumu nani ???
 
Last edited by a moderator:
Kwa akili yako hayo ni maswali magumu kwa tingatinga? Hebu tunga mengine achana na maswali ya form 1
 
Nimefuatilia kwa Makini mahojiano ya Mh Lowasa na BBC jana...bado napata shida kwa jinsi alivyobanwa na kutopewa nafasi ya kujenga Hoja kwenye swali lolote aliloulizwa.

Sasa Leo nasikia Dr. Magufuli nae anaingia kikaangoni.

Kama kweli BBC Swahili hawana lao jambo ninatarajia Magufuli kuulizwa maswali haya:

1. Mh umesema utaanzisha Mahakama ya MAFISADI na ilhali wewe mwenyewe unawanadi Mafisadi PAPA (Mf. Chenge, Ngeleja). Je, inawezekana uwanadi kisha uje Uwashtaki?

2. Kuhusu 'LIST OF SHAME' ambao ndio WALIOKUPENDEKEZA na kukusaidia kwa hali na mali kwenye Kampeni zako. Utawezaje kuwashughulikia katika Mahakama yako utakayoiasisi?

3. Wenzako waliopita (Mf. Kikwete) waliaminika SANA na Watanzania hasa walivyokua wanajinadi katika AHADI zao na hata KAULI MBIU ZAO; lakini wameonyesha kushindwa kwa kiasi kikubwa. Je, wewe utawezaje??

4. Mh. wewe hujawahi kushika Uongozi wa ngazi ya juu kama vile Uwaziri mkuu au Makamu ambao ndio kipimo SAHIHI cha uongozi. Je, unawaaminisha vipi Watanzania kua unaweza kuwaongoza kutoka kwenye UWAZIRI hadi URAISI.

5. Kama chama chako kilikuamini kua wewe ni Waziri bora kiutendaji, unafikiri ni kwa nini hukupendekezwa kua Waziri mkuu?

6. Watanzania wanaamini kua wewe haupo vizuri kwenye Maswala ya Uhusiano wa kimataifa kama alivyokua J. K. ambae alikua Waziri ni waziri wa mambo ya nje na alijijengea kufahamika vizuri. Je, unalizungumziaje hili??

7. Nafasi ya Uraisi ni nafasi inayohitaji BUSARA na HEKIMA nyingi. Wewe umeonekana ni Kiongozi mwenye maamuzi ya HARAKA katika utendaji wako. Je, unafikiri katika hali hio hutaliletea taifa Madhara??

8. CCM imeonekana kuchokwa na Watanzania walio wengi. Mfano ukashinda Uraisi, na ukashindwa kutekeleza ulioyaahidi; Je, utaweza kuwashauri Watanzania wachague Chama kingime maana CCM imeshindwa???

9. Unafikiri ni kwa nini waliokutangulia WALISHINDWA kwa kiasi kikubwa kutekeleza walioyaahidi?? Ni wazembe??

10. Vyama vingine vilishatoa kauli za kukubali matokeo kwamba aidha kushinda au kushindwa. Chama chako hakijawahi kukiri kuwa kuna kushindwa katika matokeo. Unazungumziaje jambo hili??? Ikitokea ukishindwa utakubali matokeo????

By Athanas Chriss

Swali la 6 na 8 ni maswali mazuri sana ningetamani mtangazaji amuulize
 
mleta mada nawe ni lofa! eti uwaziri mkuu na makamu ndio kipimo sahihi cha uongozi!! shame on you
 
Hayo ni maswali ya cheke cheya. Huyo mwinyi mkapa kikwete. Wali wahi kua mawaziri wakuu???
Acha ujinga

Mtu anapo kua anahojiwa huwa ajengi hoja anatakiwa kujibu maswali atakayo ulizwa na kuwajibika kujitetea kwa mada atakayo ikuta mezani...

Usirudie tena kupost ujinga kama huu.!!!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom