Mie nawatafuta hawa watoa maji lol!
Welcome to adulthood
Inaonekana watoa maji ni wachache dunia hii.
Sa ndo maana alikwambia mfanyie chini ungeanika godoro... hawa watoa maji mengi wanayatoa wapi?
Sa ndo maana alikwambia mfanyie chini ungeanika godoro... hawa watoa maji mengi wanayatoa wapi?
Eeeeeh???
Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
Wewe me kwani?
Na we ulishakutana na watoa maji meng
ujumbe niliopata katika hadithi hii ni, 1.Usikate tamaa pambana mpk mwisho 2. Jamaa leo kachachua inaonyesha alikuwa na ukame ndio maana kaja kutangaza mpk JF