Maswa: Chadema yafanya Mkutano Mkuu wa Jimbo, hawakusema wanataka fomu 1 tu ya Mgombea wao wa Urais 2025

Ccm ndio ya kustaafu, miaka 60 ya kuwatawala watanzania, hawana hata cha kujivunia,wanachokifanya ni kwa royal families kuendelea kula 🥧 ya taifa
Utofauti wa chadema ya mbowe na CCM ni Nini?.
 
Wenye jezi ya chadema ni wawili tu, hao wengine watakuwa wameokotwa stendi
 
Sasa hao kwenye picha hapo ndio wanaweza kumpitisha mgombea urais.? Em Nambie kama wapo kwenye halmashauri kuu ya Chadema.
 
Ccm i
Utofauti wa chadema ya mbowe na CCM ni Nini?.
Hakuna chadema ya Mh.Mbowe, CDM ni chama la nchi nzima
 
Sasa chadema Inainterest gani na urais labda uenyekiti wa Chama. Gusa hapo uonje sumu kwa kuilamba na msijesahau mbowe aliahidi kung'atuka 2023
 
Ccm i
Hakuna chadema ya Mh.Mbowe, CDM ni chama la nchi nzima
Hakuna chama kikicho hai kikaongozwa na mtu mmoja kwa zaidi ya miaka 15... Watu wafuu tu ndio hukubali upuuzi huo.
 
Mafanikio yangu makubwa ni kuona ccm inatokomezwa Tanzania , tumeanzia Kyela , tayari ccm tushaitokomeza , Mwakyembe kakimbilia D'Salaam
Una propaganda za kitoto sana kwaiyo kwaiyo Jimbo la kyela mbunge wake ni chedemu
 
Wanachama tunaojitambua tushajua mbowe ni kibaraka wa CCM, ndio maana ametumwa rushwa ya 150 na Mwenyekiti wake Samia akawahonge watu Hai.
#Mbowe tupishe ndani ya chdema.
Wewe no poyoyo.
Ni wapi umeona Mtu akipokea fedha kwa ajili ya Jimbo.
Uliangalia kwa macho na kusoma ni wapi hizo pesa zilienda? Hiyo akaunti ni ya Mtu binafsi? Kenge mko wengi
 
Sawa Samwel Mwanga
 
Wewe no poyoyo.
Ni wapi umeona Mtu akipokea fedha kwa ajili ya Jimbo.
Uliangalia kwa macho na kusoma ni wapi hizo pesa zilienda? Hiyo akaunti ni ya Mtu binafsi? Kenge mko wengi
Usihangaike na wajinga
 
hukohuko kujifanya kutokua na kiherehere cha kumuweka wazi mgombea urais mapema kumewatokea puani wapinzani DRC.....

na nyinyi subirini miezi mi3 kabla ya uchaguzi ndio mumbainishe mgombea wenu urais muone kivumbi sasa 🐒
 
Wewe no poyoyo.
Ni wapi umeona Mtu akipokea fedha kwa ajili ya Jimbo.
Uliangalia kwa macho na kusoma ni wapi hizo pesa zilienda? Hiyo akaunti ni ya Mtu binafsi? Kenge mko wengi

Wewe no poyoyo.
Ni wapi umeona Mtu akipokea fedha kwa ajili ya Jimbo.
Uliangalia kwa macho na kusoma ni wapi hizo pesa zilienda? Hiyo akaunti ni ya Mtu binafsi? Kenge mko wengi
Naona mke mdogo wa mbowe unatetea mmeo! Hukuwepo kanisani alipokuwa anazitangaza huyo mmeo?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…