Mwalimu Adolph Longino
Member
- Nov 23, 2018
- 97
- 205
Maandamano lengo lilishatimia ambalo ni kuujulisha ulimwengu jinsi serikali ya CCM inavyoteka na kuua wapinzani .Sasa hivi wameachana na ishu za maandamano wamedakia ile ya Lisu na Tigo.
Ndio hapa ccm inapojichukulia ushindi kwa asilimia 100 kwa 100
Si kweli. Tuliambiwa katika themes za maandamano kuna eti SAMIA MUST GO, dhamira yenye lengo la kumshinikiza Rais aondoke madarakani kwa nguvu ya Umma. Kuna jambo Watu wa Ufipa wanapaswa kulitambua kuhusu rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, nalo ni kwamba si mtu wa kuyumba. Akiona na kuoneshwa destination sahihi, hakuna wimbi wala dhoruba itakayozuia chombo chake kutua palipokusudiwa. Wanachopaswa kufanya ni kutumia fursa vizuri ya "Reconciliation" wakiimarishe Chama Chao kwani sayansi inathibitisha kuwa Samia Suluhu Hassan bado yupo sana pale kwenye throne.Maandamano lengo lilishatimia ambalo ni kuujuliaha ulimwengu jinsi serikali ya CCM inavyoteka na kuua wapinzani .
Anayesema hivyo ni askari wa nyuma ya Keyboard 🤣Nanukuu mdau alieko ndani pichani "watanzania waoga sana"
Ukiwa na upeo mdogo huwezi kuwaelewa chadema maana wanatumia akili nyingi kwenye harakati zaoSi kweli. Tuliambiwa katika themes za maandamano kuna eti SAMIA MUST GO, dhamira yenye lengo la kumshinikiza Rais aondoke madarakani kwa nguvu ya Umma. Kuna jambo Watu wa Ufipa wanapaswa kulitambua kuhusu rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, nalo ni kwamba si mtu wa kuyumba. Akiona na kuoneshwa destination sahihi, hakuna wimbi wala dhoruba itakayozuia chombo chake kutua palipokusudiwa. Wanachopaswa kufanya ni kutumia fursa vizuri ya "Reconciliation" wakiimarishe Chama Chao kwani sayansi inathibitisha kuwa Samia Suluhu Hassan bado yupo sana pale kwenye throne.
Watakomaa na tigo mpaka kuja kushtukia uchaguzi mkuu huu hapa.Sasa hivi wameachana na ishu za maandamano wamedakia ile ya Lisu na Tigo.
Ndio hapa ccm inapojichukulia ushindi kwa asilimia 100 kwa 100
😂 askari wanataka tuandamane wajichukulie sifa.Anayesema hivyo ni askari wa nyuma ya Keyboard 🤣