Masuali ya Koplo wa uhamiaji

Chilai20

Senior Member
Joined
Apr 4, 2011
Posts
104
Reaction score
10
km kawaida wanajamvi, tusaidiane yale maswali na.majibu ya nafasi za KOPLO ktk hzi interview za UHAMIAJI.
 
Yaani we ni kilaza namba moja maswali ya interview yaanikwe hapa jamvini !!! Ulipoomba ulitegemee maswali utayakuta hapa sio !! Yaani hiki kizazi cha murugo ni shida tupu !!
 
Maswali tuyatoe wapi? Nenda uamiaji wanayo.
 
kwani KOPLO bado wao??
....mbona wakaguzi tayar?
 
Ndo maswali hayo dogo !! We unaomba kusaidiwa una panic nini sasa !!
 
hv unajua maana ya kupanic au unaongea tu!
....haina haja ya kuendeleza malumbano, asante na nashkuru kwa msaada wko mungu atakulipa kwa uyatendayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…