Sawa mwanetu tukapumzike sasa au unasemaje?natoka kaunta ya chini, naenda yaa juu
nawaona kevin na jelly wako na mr. 2
kwenye makochi meusi wapo masista du, mmoja anani bomb nimnunulie Red Bull
nimecheki hiyo video mwishoni kule, nikamaliza hapo hapoSawa mwanetu tukapumzike sasa au unasemaje?
Acha kelele wewe, njoo huku juu nikununulie HENNESSY bia ya kichaggah.natoka kaunta ya chini, naenda yaa juu
nawaona kevin na jelly wako na mr. 2
kwenye makochi meusi wapo masista du, mmoja anani bomb nimnunulie Red Bull
lamomy yupo ?Acha kelele wewe, njoo huku juu nikununulie HENNESSY bia ya kichaggah.
Yupooo na cocasticlamomy yupo ?
Ushawahi tazama cartoon ya Sausage party Ile scene ya mwisho?Leo nipo na watoto wangu tunaenda shopping,ghafla mwanangu wa kike aliyepo baby class akaanza kuniomba nimnunulie ice cream za rain bow.Nilishtuka sana,nikamuuliza amejuaje mambo ya rainbow?Akanijibu huyaona yakitangazwa kwenye katuni Masha and the bear.Nimeogopa mno sababu hiyo katuni nilikuwa nawaona kila siku wakiiangalia na sikutilia shaka lolote.Hatua pekee niliyochukua ni kuwaambia kila sehemu wakiona mambo ya rainbow,wajue hao ni mashetani wasiomjua Mungu.Sina hakika kama watoto wamenielewa.Wazazi tuanze kufuatilia katun wanazotizama watoto wetu
Poa mwamba na kwako pia, hata kesho ni siku.nimecheki hiyo video mwishoni kule, nikamaliza hapo hapo
naoga nalala, usiku mwema