Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,440
- 3,202
nilitaka kumtaja chief mkwawa wa hilo jukwa. Huyu mjuba mimi binafsi nimejua teknojia nyingi za mambo ya kompyuta na simu toka kwa huyo mwamba. Hanaga shobo ukimuuliza maswali anajibu vemaTech, Gadgets and Science Forum
Hapo utawakuta hawa wamba wamejitandaza wakitoa elimu bila hiyana na kwa utulivu mkubwa sana wapewe maua yao.
Mwl.RCT
Chief-Mkwawa
Uliza mambo ya IT/ICT n.k kama wapo karibu watakupa darasa bure kabisa. Nimekuwa nikiwafuatilia sana. Tusiache kutambua michango ya watu please.
Kule Mmu unanikuta mm nimetulia na simu yangu ya Samsung A05 ya mkopo
Kabisa.jamaa ana moyo wa kizungu sana. Anapaswa akumbukwe na huwa hana lugha ya kuudhi au dharau.nilitaka kumtaja chief mkwawa wa hilo jukwa. Huyu mjuba mimi binafsi nimejua teknojia nyingi za mambo ya kompyuta na simu toka kwa huyo mwamba. Hanaga shobo ukimuuliza maswali anajibu vema
Ndo watu wanavosemaOk. Wewe ndo Mkali wa hilo Jukwaa?
@Kiranga, Infropreneur na Ibn Unuq
Hawa jamaa ni cheche kwenye maada za dini, Wana umaster wao pia kwenye kupinga Imani bila Proof.
Nawakubali sana hao jamaa.
......!?