Ile MVM ilishafutwa muda mrefu na badala yake ziko masters za aina nyingi (ingia SUA website). Turudi kwenye swali la msingi member hapo juu ameiweka vizuri sana. Jiuize unataka kuchukua Masters ili iweje? Una malengo gani. Pima faida na hasara zake halafu amua.Wakuu swali langu ni kwamba, je ni muhimu kuendelea na masters ya VM endapo umekidhi vigezo au ni upotezaji mda Tu??
Kama umepata connection piga ,but Kama auna utakuwa unapoteza tuuuuuuuuuuu.Wakuu swali langu ni kwamba, je ni muhimu kuendelea na masters ya VM endapo umekidhi vigezo au ni upotezaji mda Tu??