Wadau nimeomba kufanya masters ya HRM toka Open Univesity of Tanzania. Naomba aliesoma au anaesoma hii coz tufahamiane iwe rahic kushare material. Thanks in advance!
Kwanini? Nimeona kuna kozi 4 ambazo ni core then 2 ni elective. Kwa kuanza unaweza kuchkua 4 unafanyia UE then unamalizia 2 hapo unaruhucwa kuanza desertation. Nadhani ukiwa serious unaweza kumaliza ndani ya miaka miwili.