Na km mwajiriwa ipoje be openKama wewe sio mwajiriwa wa serikali, basi usiwaze kabisa kuisomea hii kozi, maana utaishia kuweka vyeti vyako kabatini.
Aisee OUT sikuiz wako vzr eehh..? Ule mtazamo kuwa open baina kiwango sikuiz labda unapungua..mi niko open now masters na msuli ni wa hatarKozi hii inatolewa chuo kikuu huria cha Tanzania (OUT)
Sasa basi, kama wewe ni mdau wa kozi hii na unapata changamto katika usomaji wako, nitafute nikupe mwongozo mzuri. Hii ni kwa wale walioko Dodoma tu.
Karibu PM.
Kn evening class?Aisee OUT sikuiz wako vzr eehh..? Ule mtazamo kuwa open baina kiwango sikuiz labda unapungua..mi niko open now masters na msuli ni wa hatar