Nigga What
Senior Member
- May 1, 2021
- 164
- 448
Naomba ushauri,
Nataka kusoma MBA chuo kikuu cha Dar-es-Salaam sina background ya business nimesoma degree ya maswala mengine lakini nimeajiriwa kwenye position za Business kwa miaka mitatu na nimejikuta passionate sana na business ikanifanya niwe curious kidogo na kupelekea kuwaza kusoma hii kitu.
Naomba msaada wako kujua yafuatayo:
1. Je, inawezekana mimi ku switch kutoka degree ya mfano ya sociology kwenda MBA?
2. Kwa ratiba zilivyonibana naweza kusoma jioni pale udsm? evening class
3.Nahitaji level gani ya GPA kupata admiss.
Naomba msaada wako tafadhali
samahani kwa spelling zilizokosewa