Masters na Phd scholarship (Full Funding 2017/2018)

Masters na Phd scholarship (Full Funding 2017/2018)

Wakuu habari!

Kuna scholarship 10 ambazo ni full funding nimekuwekea. Ingia Google search andika neno Mabumbe foundation ukishaifungua kwenye menu click students utazipata hizo scholarship ni uhakika.
Mbona naingia lakini hapo kwenye students sipapati!?
 
I mean proposal niliyoitumia nikiwa MA
mkuu siyo zote zinahitaji proposal kama una GPA nzuri na unaweza ukanishirikisha hapa nitashare na wewe baadhi ya vitu kama sample za cover letter, proposal, nk.
 
Kimegharamiwa sio kimehalamiwa....utapata kweli hiyo scholarship ndugu yangu
 
Natafuta za Kilimo Mimi
Pia naona nyingi mpk upate admission kwanza.
Good job kaka
 
Mimi nataka nijaribu za pHD kwenye upande wa elimu mkuu. Naomba mchakato wake wa kwanza kabisa na kuendelea. Na ninaomba sample za cover letter nzuri,na mambo mengine muhimu kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom