Mjasiriamali1
JF-Expert Member
- Jun 8, 2009
- 891
- 240
Mimi ninataka kufanya Postgraduate ya Mathematics vp ajira nitapata??
yap mkuu hiyo public health iko vizur sana maana naona ina fursa nyingi kwenye NGOs kubwa so hiyo pia ipo kwenye plani yangu.imekaa vizurKuna mtu aliwahi kunishauri kusomea public health nikaona kanidharau... Sasa huwa naitamani. sasa hivi ningekuwa nafanya kazi kwenye NGO huku nakula dola za Mmarekani bila stress...
I wish to see you one day,can it be possible,where do you live?,personally i live in lindiMasters ya education faida yake no moja tu daraja litaendelea kupanda mbali na hapo sidhani kama inalipa kulinganisha na hizo nyingine
Karibu, kwasasa nipo dodoma nakunywa dompo na kula zabibuI wish to see you one day,can it be possible,where do you live?,personally i live in lindi
Tukianza vikao vya Bunge utakuwa bado upo Dodoma?Karibu, kwasasa nipo dodoma nakunywa dompo na kula zabibu
Nipo nipo sana labda nkipata uhamisho wa June ndo ntahamaTukianza vikao vya Bunge utakuwa bado upo Dodoma?
Vp wandg mi ninashahada y edn Bsc.ed,( maths), MA ipi itanifaa