Nilipata scholarship na ruhusa ya kusoma PhD.Yeah ni mtumishi wa umma, Kwa sisi tulio taasisi za elimu ya juu master's degree au PhD ina-matter sana, mchawi ruhusa tu hapa...
Kaza tako uachane na chaki mna maisha magumu sana walimu
Kwahiyo funzo kwa jamaa ni lipi mbona unaleta masifa kama muhaya na wwNilipata scholarship na ruhusa ya kusoma PhD.
Niliianza chuo, kumaliza mwaka mmoja nikaona napoteza muda.
Maana hela za madili na biashara inakuwa.
Nikajisemea, ngoja nikafute hela mimi NIKA DROP OUT PhD.
Na sitaki tenaa kusomaaa.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Okey.Kwahiyo funzo kwa jamaa ni lipi mbona unaleta masifa kama muhaya na ww
Sawa TAJIRINilipata scholarship na ruhusa ya kusoma PhD.
Niliianza chuo, kumaliza mwaka mmoja nikaona napoteza muda.
Maana hela za madili na biashara inakuwa.
Nikajisemea, ngoja nikafute hela mimi NIKA DROP OUT PhD.
Na sitaki tenaa kusomaaa.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
DAh yaan unashindwa fanya mambo yako kisa hela za madili me nikajua ma biashara yako yatayumba kisa madili tu ya kuiba serikaliniNilipata scholarship na ruhusa ya kusoma PhD.
Niliianza chuo, kumaliza mwaka mmoja nikaona napoteza muda.
Maana hela za madili na biashara inakuwa.
Nikajisemea, ngoja nikafute hela mimi NIKA DROP OUT PhD.
Na sitaki tenaa kusomaaa.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Manjonjo mengi na master yenyewe ya education, mtu mwenye CPA ni valuable compared to master holder ya educationMasters of education in assessment and evaluation.
Naomba Tushauriane wanazuoni hii kozi nahitaji kuongeza ujuzi. kabla sijajitosa rasmi, kama yupo wa kuniboreshea kwa kujenga kozi nyingine nzuri zaidi nakukaribisha sharti iwe Education tu. Bachelor yangu ni Education. Kwa wale walamba nyau usinishauri kutafuta hela mimi nataka kusoma tu, zaidi uzi unawahusu Master holders nakuendelea. Bachelor Degree kushuka chini si dhani kama una cha maana zaidi though sijakutenga.
Kimfaacho mtu chake wewe mlamba nyau. Yaani walamba nyau bhana ww huna hata hiyo diploma utanishauri nn zaidManjonjo mengi na master yenyewe ya education, mtu mwenye CPA ni valuable compared to master holder ya education
Punguza makasiriko mlamba nyau hapa nawataka Masters holder nakuendelea. Ww na la Saba B yko utanishauri nini yaanMtu mwenye certificate wa tra anakuzidi mbali na master yako ya education
-Mimi ni Land saveya, consultant, nimesoma Geomatics-Ardhi university, nimesajiliwa kama professional Land saveya,Punguza makasiriko mlamba nyau hapa nawataka Masters holder nakuendelea. Ww na la Saba B yko utanishauri nini yaan
Kimfaacho mtu chake, ww level yako ndogo kutokana na degree unayosomea, unazidiwa kwa hela police form ivKimfaacho mtu chake wewe mlamba nyau. Yaani walamba nyau bhana ww huna hata hiyo diploma utanishauri nn zaid
Walio drop out ni Bill Gate, Mark Zugeberck etc na ambao sasa ni mabilionaire wakati wewe uliangukia kwenye maweNilipata scholarship na ruhusa ya kusoma PhD.
Niliianza chuo, kumaliza mwaka mmoja nikaona napoteza muda.
Maana hela za madili na biashara inakuwa.
Nikajisemea, ngoja nikafute hela mimi NIKA DROP OUT PhD.
Na sitaki tenaa kusomaaa.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Aaaaa mzee mwakyembe acha 'mazarau'Punguza makasiriko mlamba nyau hapa nawataka Masters holder nakuendelea. Ww na la Saba B yko utanishauri nini yaan
Tafuta CPA achana na PhDNilipata scholarship na ruhusa ya kusoma PhD.
Niliianza chuo, kumaliza mwaka mmoja nikaona napoteza muda.
Maana hela za madili na biashara inakuwa.
Nikajisemea, ngoja nikafute hela mimi NIKA DROP OUT PhD.
Na sitaki tenaa kusomaaa.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kusoma sio kupumzika wengine tulikua tunafanya kazii jioni saa 11 ndio tunawai chuo kusoma masters programs.MAeD hiyo. Kila lakheri Bro sometimes kusoma ni kupumzika na hizi karaha za kazi.
Kwaio unahisi CPA ni muhimu SANAAAAAA?Tafuta CPA achana na PhD
Nilitahadharisha mapema walamba nyau na wenye makasiriko pita kushoto ww unaleta shobo zako, anyway nimekupuuza bro umeandika ugoro kwenye uzi usiokuhusu kbs-Mimi ni Land saveya, consultant, nimesoma Geomatics-Ardhi university, nimesajiliwa kama professional Land saveya,
- nimeajiajiri sio kama wewe unategemea makombo ya ccm ndio ule,
- La 7 wenzio wana pesa, hawali makombo ya ccm
Nilitahadharisha mapema walamba nyau na wenye makasiriko pita kushoto ww unaleta shobo zako, anyway nimekupuuza bro umeandika ugoro kwenye uzi usiokuhusu kbs
Umeandika vizuri mzee mwenzangu ila umejisifia tu point ya kubeba hapa walau "AMBITION IS A DREAM"Kusoma sio kupumzika wengine tulikua tunafanya kazii jioni saa 11 ndio tunawai chuo kusoma masters programs.
Siku nime gradu🎓 wapo ambao Hawa kuamini kikubwa ni ambition
Maana AMBITION IS A DREAM WITH A V8 ENGINE.