bitcoin mkuu waozitachimba wako njee na wanamitambo mikubwa server zinazofanya kazi kweli ,, usije leta porojo za software hapa wala soma elimu hii,, bitcoin inapatikana kwa computerized Hardware ambayo inakuaactive 24/7 na sio moja lazima ziwe za kutosha ili uone pesa yake. ukiweza nunua bitcoin mainer mini upate mapeni kwa muda mrefu sana. ila ukiwa umeme wa uhakika