S shimwa JF-Expert Member Joined Apr 11, 2017 Posts 1,907 Reaction score 1,437 Jun 13, 2019 #81 Ila kupiga pu ni ubinafsi
pandagichiza JF-Expert Member Joined Jul 9, 2013 Posts 5,981 Reaction score 4,295 Jun 13, 2019 #82 Khames98 said: Naombeni msaada jamani mimi nina miaka 22 Sijawahi kufanya zinaa ila nimekuwa ni muumini mkubwa mno wa hii kitu mwaka wa pili sasa nashindwa jinsi ya kuacha. Click to expand... Mwaka wa pili? Bado hujakomaa endelea tu
Khames98 said: Naombeni msaada jamani mimi nina miaka 22 Sijawahi kufanya zinaa ila nimekuwa ni muumini mkubwa mno wa hii kitu mwaka wa pili sasa nashindwa jinsi ya kuacha. Click to expand... Mwaka wa pili? Bado hujakomaa endelea tu
pandagichiza JF-Expert Member Joined Jul 9, 2013 Posts 5,981 Reaction score 4,295 Jun 13, 2019 #83 ODILI SAMALU said: Kiukweli Kama Huna Hela, kuacha punyeto Ni vigumu, angalia tu mwenyewe Kwa kufanya utafiti asilimia kubwa ya wapiga punyeto hawana Hela Click to expand... Ni kweli kabisa Hiyo tabia huisha mara tu upatapo hela/kazi
ODILI SAMALU said: Kiukweli Kama Huna Hela, kuacha punyeto Ni vigumu, angalia tu mwenyewe Kwa kufanya utafiti asilimia kubwa ya wapiga punyeto hawana Hela Click to expand... Ni kweli kabisa Hiyo tabia huisha mara tu upatapo hela/kazi