Mwaka wa pili tu unalalamika umu kuna watu walitoa ushuhuda wanaungurumisha bila ata mafuta kavu kavu na wako fresh tuu mi huu mwaka wa 6 naugurumisha safi tu na shoo nakimbiza mpaka timu pinzan inaomba Pooo yale ni mazoezi ya dushe achaga Kusikiliza polojo za kukiponda chama chetu pendwa