Master PLan ya Mji mpya wa Singapore

Anna Tibaijuka, Rais kaonesha shaka juu ya uadilifu wako hadi akatengua uteuzi wako, Je ili kujenga jina lako na kwa vile hadi taasis ya rais imetilia shaka pesa na uadilifu wako, unaonaje kwa nia njema ukirejesha hizo fedha ili suala hilo liishe na uendelee na mambo yako mengine, ambayo naamini ni mazuri tu mengine na ikulu haina shida nayo.
 

Alishaaema yeye hayupo kwenye kundi la watu wanaojiuzulu kwa hiari,
Maana yake hii pesa hawezi kuirudisha,
Labda anyan'ganywe na mamlaka.
 
nyie mnaotaka mama tibaijuka arudishe hela mnataka airudishe wap.mnataka akamrudishie rugemalila au.na akishamrudishia so what???
 

Hivi ni lazima ama ni utaratibu uliowekwa kuwa kila waziri anayeteuliwa kuongoza Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi afanye ziara nchini Singapore kwa ajili ya kujifunza namna ya kujenga miji bora. Mbona hayo wanayojifunza hatuoni yakifanyiwa kazi ama ndiyo ujanja wanaotumia kujikusanyia per-diem ili kutunisha mifuko yao.

Mwaka 2013 Prof Tibaijuka alikuwa huko na ujumbe wa watu kadhaa na kurudi na bla bla nyingi. Mwaka huu 2015 ameenda Lukuvi na ujumbe wa watu wengi pia. Nini faida ya hizo ziara kwa taifa letu ama ndiyo wanafuata nyayo za mkuu wa kaya....
 

Attachments

  • LUKUVI SINGAPORE.png
    124.1 KB · Views: 328
  • LUKUVI NA UJUMBE WAKE SINGAPORE.png
    102.8 KB · Views: 317

Nina uhakika prof Anna Tibaijuka hato kanyaga tena jf.
 
Last edited by a moderator:

tulitakiwa tupeleke wahadhiri wa ardhi uiversity ili waje wawafudishe maofisa ardhi na aofisa mipango.
 
tulitakiwa tupeleke wahadhiri wa ardhi uiversity ili waje wawafudishe maofisa ardhi na aofisa mipango.

Hii nnji haina wasomi ina jua kali tumemsomesha ndg Bilal ambae ni makamo wa rais kwa sasa badala ya kutusaidia kwa ile taaluma aliyosomea kaingia kwenye siasa wasomi my foot.
 
Tanzania mmeshindwa kupanga mji vizuri! Mmefeli
 
Duuuh haka ka Mama enzi za Escrow kali mute sa izi eti kamerudi tena kutafuta za mboga duuuub
 
Tatizo la nyie wabongo mkienda shule ,huwa akili zenu zinaishia kukariri na kujifanya masters wa fikra za wengine.Hamtaweza jenga Akili na Dira za kuwaongoza ku venture the unknowns safely.Ndio maana salama yenu ni kukariri current vocabularies tuu ,ambazo mkiandika na kuzisema wenye kuwapa cha kufikiri wanadhani mpo nao wanawapa visifa kuwa nanyi mnafikiri na kuweza mnapoachiwa msimame mnanguka km mkate ukitiwa maji. Kwa taarifa yako wewe mama na wengine.Hizo nchi zilijengwa kwa kuwa na viongozi wakali sana tofauti na JK hadi leo anakuacha professor unabeba hela na magunia wakati hela zinahama kidigitali?Planning ya muda mrefu haitekelezeki ktk nchi watu akili zanahamahama na matukio km zenu ,watu wa hivi vi nchi wasomi na wasiosoma wote ni washenzi tuu..wapo easily influenced.Ndio maana mnafundishwa kuhusu ukimwi kabla hamjafika nyumbani mnasikia wimbo wa diamond akisifu uzinzi,na pembeni unasoma gazeti la udaki akili inahamia huko fasta.WEWE MAMA KUNA PARAMETERS NYINGI SANA ZINAHITAJI KUWA RIGHT KUANZIA KTK VICHWA,HADI KWA WATU NA HALI YA DUNIA NA UCHUMI WA NCHI NA WAWEKEZAJI WAKE NDIPO UWEZE KUJA NA MIJI ULIYOPANGA.OTHERWISE UTAKUTA HAKUNA PA KUJENGA MJI KWANI POTE PALISHAJENGWA VITU HOLELA NA HUWEZA BOMOA KWA KWELI NDIO ULIPOSIMAMIA NA NDIO MTAJI WAKO WA KUJENGA KWINGINE.BOMOA Dar leo uone CCM watakavyoshindwa lisha majobless na kupata kodi, bomoa taratibu uone km utaboa nyumba kumi kabla master plan yako haijapitwa na wakati km si watanzani kuja na plan nyingine ya wendawazimu km CCM na kuchezea elimu kila wakiamka.
 
Huyu mama alikuja na mbwembwe kibao, kumbe alikuwa na agenda zake kibao tu za kupiga pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…