Duh, 'msichana'
Mtayarishaji mkongwe wa muziki nchini, Joseph Kimario ‘Master Jay’, ameweka wazi mpango wake wa kufunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu, Sara Kaisi ‘Shaa’.
Master J amesema Shaa atakuwa mke bora kwake kwani tayari ameshaishi naye kwa miaka 10 bila matatizo yoyote.
“Miaka 10 niliyoishi naye nimemwelewa vizuri, anastahili kabisa kuitwa mke wa Master J hapa nafanya taratibu za kumuoa ili tuishi maisha ya mke na mume,” Master J aliliambia gazeti la Mtanzania.
Mtayarishaji huyo wa muziki alisema kwamba anampenda Shaa kwa sababu ni msichana anayejielewa, licha ya kuwa msanii hasahau jamii inayomzunguka huku akijituma sana katika kazi zake zote kwa ujumla.
Ujinga tu.... they'll hardly last a year after tht what u call wedding... si kila mtu kaumbiwa ndoa. Mark my words.Kuna unayoyajua ambayo hatuyafahamu? No body is perfect akiwa Mrs ataacha.
Hahaa kumbe kuna uchumba sugu..,!!!***** 10 years, duh huu ni Zaidi ya uchumba sugu
45 ni Mzee siyo?,Ndoa za wazee bana, master j si anagonga kwenye 45+
WalitenganaAna mke na watoto nadhani, sina uhakika niko tayari kukosolewa. SI kama tu ndugu Mengi, alikuwa na mke na alipata mwingine, life is fool of suprises sometimes dear.
***** 10 years, duh huu ni Zaidi ya uchumba sugu
Sasa ni kijana huyo?, kibongobongo na kwa mswahili kama wewe utaona bado ni mbichi.45 ni Mzee siyo?,
Wapo watoto miaka25sura na maumbile ya nusu karne,
Mnyaki ana k tamu bana , maufundi wanayo ,mchagga wa watu kanasaMaster J ana make na watoto wakubwa tuu,labda Hugo atakua make wa pili
Huyo ni mtu mzima ama kijana mkomavu,uzee hauanzii 45Sasa ni kijana huyo?, kibongobongo na kwa mswahili kama wewe utaona bado ni mbichi.
Bora huyo bana, yani 10 years unaitwa sijui mchumba sijui my girlfriend chinekeeeee hapo styles zote wanemaliza ha haNi afadhali kuliko yule aliyekimbilia ndoa na mwisho wa siku akashushwa MILEMBE. Ndi ndi ndiiiiii😛
Mi nimewahi muona mlimani siti na vitoto vinafanana nae nikajua vitoto vyake au shaa anaenda kuwa mama wa kufikia wa hawa watoto??Hiyo probation nimeipenda, miaka 10 doh. Anyway, mbona nilisikia Master Jay anamke?
life is fool of suprises sometimes dear.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu hatari Sana hivi ndani ya hiyo miaka wamebahatika hata kupata mtoto? Kama bado basi itakuwa kuna kaupungufu sehemu***** 10 years, duh huu ni Zaidi ya uchumba sugu
Sijui kama wana mtoto, ila kwa miaka hiyo inapaswa wewe na mtoto wa darasa la pili ha ha ha ha[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu hatari Sana hivi ndani ya hiyo miaka wamebahatika hata kupata mtoto? Kama bado basi itakuwa kuna kaupungufu sehemu
Sifa zimfikieNimesoma uzi weee...point iliyonitachi ni hapo mwishoni panaposema "....huku akijutuma SANA katika kazi zake zote kwa ujumla"