Master degree ya biostatistics and epidemiology

Master degree ya biostatistics and epidemiology

baest

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
273
Reaction score
169
Ndugu, habarini ...

Ningependa kujua vyuo hapa vitoavyo shahada ya pili tajwa hapo juu.

Kama nitapewa link nitashukuru..

Binafsi Ninamalizia shahada ya economics and statistics.. Mungu akipenda.
Academic: o level masomo ya biashara + biology ambalo nilipata B mwaka 2010, bila chemistry na physics.

Advance: Egm ( economics, geography and advanced mathematics)
Natanguliza Shukrani kwa majibu yenu ..
Asanten
 
Mimi mwenyewe ni mdau sana wa hio programme na nimesoma BSc Statistics. KCMC wanatoa MSc Epidemiology with applied Biostatistics, Muhimbili na SUA wanatoa MSc Epidemiology,kwa Makerere University wanatoa MSc Clinical Epidemiology and Biostatistics na Nairobi University wanatoa MSc Medical Statistics.... Natamani sana kupata taarifa zaid kutoka kwa mtu aliyesoma kati ya izo programme ili afafanue zaid hasa kuhusu soko la ajira kwa field hio ndani na nje ya nchi yetu
 
Mkuu umepata maelezo
 
hiyo masters wanaosoma ni wale wenye degree za medicine laboratory sciences na related courses sasa wewe uliesoma egm ukasome epidimiology kwel .
 
Back
Top Bottom