Master course in monitoring and evaluation

Mumewangu19

New Member
Apr 28, 2019
2
2
Wakuu, naomba kujuzwa kuhusu vyuo vinavyotoa class evening ya masters in monitoring and evaluation then cha pili kwa wale waajiriwa na wazoefu katika hii course,changamoto za ajira kwa hii course zikoje.

Natanguliza shukran kwa mwanga mtakaonipatia.
 
Kuna Mzumbe na Open University watembelee, ingawa Mzumbe ya kwao wamejikita kwenye health na Open nadhani wao ni general.
 
Wakuu, naomba kujuzwa kuhusu vyuo vinavyotoa class evening ya masters in monitoring and evaluation then cha pili kwa wale waajiriwa na wazoefu katika hii course,changamoto za ajira kwa hii course zikoje

natanguliza shukran kwa mwanga mtakaonipatia
Kozi hii uipate katika NGO's inalipa sana au mashirika ya kumataifa ila huku kwetu katika serikali ajira zake ni chache sana kutokana na uhtaji wake na kutokujua thamani ya M&E
 
Kozi hii uipate katika NGO's inalipa sana au mashirika ya kumataifa ila huku kwetu katika serikali ajira zake ni chache sana kutokana na uhtaji wake na kutokujua thamani ya M&E
Mkuu,shukran kwa msaada.naomba ushauri,baada ya kumaliza master ya hii kozi with no work experience,wapi nianzie
 
Mkuu,shukran kwa msaada.naomba ushauri,baada ya kumaliza master ya hii kozi with no work experience,wapi nianzie
Jaribu katika mashirika ndio utapata experience kubwa kuliko katika serikali ila ukipata katika mashirika ya ukimwi ndio mazuri zaid mana yana wigo mpana wa M&E na Mara nyingi wanafanya M&E robo,nusu,na mwaka ili kujua utendaji na uwajibikaji wa site zao na malengo walio wawekea target katika kila quarter nadhani itakusadia sana.
 
Wakuu, naomba kujuzwa kuhusu vyuo vinavyotoa class evening ya masters in monitoring and evaluation then cha pili kwa wale waajiriwa na wazoefu katika hii course,changamoto za ajira kwa hii course zikoje

natanguliza shukran kwa mwanga mtakaonipatia

Open ni rahisi kwani ni distance learning na kama speed yako ipo vizuri utapangua kila kitu mapema.

Kama unaweza fanya Masters, then sikushauri usome Postgraduate Diploma kama wanavyoshauri wengine.
 
Wakuu, naomba kujuzwa kuhusu vyuo vinavyotoa class evening ya masters in monitoring and evaluation then cha pili kwa wale waajiriwa na wazoefu katika hii course,changamoto za ajira kwa hii course zikoje.

Natanguliza shukran kwa mwanga mtakaonipatia.
Nenda open university
 
Kwanza nikupongeze kuwa na wazo la kujiendeleza kitaaluma, mimi nilifanya M.A in assessment and evaluation napia ni mtumishi wa umma changamoto iliyopo nikwamba serikalini itategemea idara uliyopo labda wanaweza kutambua thamani na umuhimu wa kozi husika kwa mtu Aliye jiendeleza otherwise utumie effort kubwa kujinadi apart from that labda upate a good refferee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom