Mwana wa Zaituni
Member
- Feb 19, 2013
- 84
- 44
Orodha inaendelea kila siku ya watangaza nia kutoka bongo movie/flava,najiuliza ni fashion,kuishiwa au ndio kutafuta kick?
Kweli wana haki kama walivyo watanzania wengine lakini siamini siasa imekuwa rahisi kiasi hiki.
Hivi kuwa maarufu tu inatosha kutatua matatizo ya Tanzania ya leo na ya kesho?