MchunguZI
Platinum Member
- Jun 14, 2008
- 4,047
- 2,239
wasanii wamesema katiba ya sasa imeleta mapinduzi makubwa katika tasnia ya filamu hapa nchini kwa kuweka vipengele ambavyo vimewathamini.
Kwetu ni jambo kubwa kuona serikali yetu imeanza kutambua mchango wetu kwa kuweka vipengele katika Rasimu Mpya ya Katiba hii inaonyesha ni jinsi gani tutaweza kupata mafanikio pia itatuwezesha kupambana na wezi wa kazi zetu na kutuongezea kipato, alisema Flora Mvungi, mmoja wa wasanii hao.[/QUOTE]
Shida yao ni kutaka wawe kwenye msafara wa kampeni ya CCM, na wanavyolegeza suruali! Ngoja tuone maana sina jina la msanii anayeweza kuitwa ana uelewa.