kibogo
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 9,739
- 4,746
Star King Majuto tu.. hao wengine wasanii kwa maana ya wabangaizaji.
View attachment 192416 View attachment 192417
Star King Majuto tu.. hao wengine wasanii kwa maana ya wabangaizaji.
View attachment 192416 View attachment 192417
![]()
wasanii wamesema katiba ya sasa imeleta mapinduzi makubwa katika tasnia ya filamu hapa nchini kwa kuweka vipengele ambavyo vimewathamini.
Kwetu ni jambo kubwa kuona serikali yetu imeanza kutambua mchango wetu kwa kuweka vipengele katika Rasimu Mpya ya Katiba hii inaonyesha ni jinsi gani tutaweza kupata mafanikio pia itatuwezesha kupambana na wezi wa kazi zetu na kutuongezea kipato, alisema Flora Mvungi, mmoja wa wasanii hao.
Waambieni wasome ibara ya 20 kifungu kidogo cha 2 kwenye hiyo sura waliosema imekidhi matakwa yao !! Kwa ninavyoijua ccm watatumia wasanii kuipigia chapuo katiba yao !!!!
Hilo kundi linalojiiti ati 'Wasanii wa Bongo' ni genge la waganga njaa. Wamekuwa wakitumiwa kama tambara la deki bila kupima au kuhoji mambo au kampeni wanayoishabikia. Kwanza hawana cha zaidi ya skendo na ngono.
Msanii anatakiwa awe na uwezo wa kuchambua na kuwa na hekima ya kutambua pale anaposhirikishwa jambo lolote zaidi ya lile la kushikishwa 'bahasha ya kaki"
Wengi wao ni vihiyo wasio na uwezo wa kutambua wala kujitambua wenyewe na nafasi yao katika jamii. Ni watu wanaotumiwa kwenye majukwaa bila kujitambua sasa leo watatambua kilichomo kwenye KATIBA?
Nawapa Changamoto kwa hao wanaojiita wasanii kuwa wajitambue wao wenyewe kwanza kabla kudandia hili KATIBA.
Wafu wanakokotana....Watakalia kulamba ma.ka.li.o ya CCM wakati CCM ikiendelea kunyonya mbu.nye zao. Wanamsifia basha wao CCM ili wapate fursa ya kwenda kutangaza utalii Marekani. Yaani kazi kweli kweli.....Shame on you MASANII...
Hilo kundi linalojiiti ati 'Wasanii wa Bongo' ni genge la waganga njaa. Wamekuwa wakitumiwa kama tambara la deki bila kupima au kuhoji mambo au kampeni wanayoishabikia. Kwanza hawana cha zaidi ya skendo na ngono.Msanii anatakiwa awe na uwezo wa kuchambua na kuwa na hekima ya kutambua pale anaposhirikishwa jambo lolote zaidi ya lile la kushikishwa 'bahasha ya kaki"
Wengi wao ni vihiyo wasio na uwezo wa kutambua wala kujitambua wenyewe na nafasi yao katika jamii. Ni watu wanaotumiwa kwenye majukwaa bila kujitambua sasa leo watatambua kilichomo kwenye KATIBA? Nawapa Changamoto kwa hao wanaojiita wasanii kuwa wajitambue wao wenyewe kwanza kabla kudandia hili KATIBA.
Nape mwandosya anawapigia hela.
Wafu wanakokotana....Watakalia kulamba ma.ka.li.o ya CCM wakati CCM ikiendelea kunyonya mbu.nye zao. Wanamsifia basha wao CCM ili wapate fursa ya kwenda kutangaza utalii Marekani. Yaani kazi kweli kweli.....Shame on you MASANII...
![]()
wasanii wamesema katiba ya sasa imeleta mapinduzi makubwa katika tasnia ya filamu hapa nchini kwa kuweka vipengele ambavyo vimewathamini.
Kwetu ni jambo kubwa kuona serikali yetu imeanza kutambua mchango wetu kwa kuweka vipengele katika Rasimu Mpya ya Katiba hii inaonyesha ni jinsi gani tutaweza kupata mafanikio pia itatuwezesha kupambana na wezi wa kazi zetu na kutuongezea kipato, alisema Flora Mvungi, mmoja wa wasanii hao.
bongo mavi....hiyo nimeipendaHawajitambui hao wala hawajui wanataka nini, katiba haiwezi kuleta mafanikio kwao hata wangepewa waitunge wao, wanaacha kutengeneza filamu za maana zenye maudhui ya maana watu wanunue kazi zao halali wamebaki kutembea nusu uchi na kufanya ufuska. Filamu imekuwa sehemu ya kujionesha kwa wanaume na kwenda na mawaziri kutangaza utalii. Wangekuwa wanajielewa wangetengeneza kazi zinazouzika hata za kutangaza huo utalii bila wao kwenda kupitia umalaya. Wenyewe wanagombana kila siku hayo mafanikio watayapataje? imefika mahali mtu akiitwa msanii nchi hii anaona katukanwa kwa sababu ya hawa majamaa wa bongo MAVI.
hivi kuna msanii wa bongo iwe muvi au music ambae ana uwezo wa kupima uzuri au ubaya wa katiba? i mean kusoma na kuielewa katiba.
Serikali ya CCM walishindwa nini kutunga sheria na kanuni ili kuwajali wasanii?
Wabunge wa CCM ndo wengi bungeni, je Wizara ilishindwa kutunga sheria? Wasanii acheni kutumika kienyeji
Kama CHADEMA isingedai Katiba mpya, hao wasanii wangengoja mpani lini?
Wasanii hawana elimu, wengi wao wameishia form four
wasanii hawajaisoma katiba, kwa nini wanasema ni nzuri kabla ya kuisoma