Wangekuwa wanaifahamu KATIBA YA CCM, na huruka/tabia ya viongozi wake wasingefanya huu ujinga.
Kamati kuu ya CC ndiyo yenye jukumu la kupendekeza majina 5 kwenda halmashauri kuu kupigiwa kura.
Hakuna utaratibu wala vigezo vinavyoelewka ambavyo Kamati kuu inapaswa kufuata katika kupendekeza majina hayo 5.
Kamati kuu ya CCM ndiyo mwisho wa NDOTO ya Lowassa, kwani jina lake litakatwa na halitakwenda NEC kupigiwa kura.
Nafikiri hawa Bongo movie wanafanya hivyo ili KULICHUNA BUZI, katika saa hizi za lala salama kwani hiloBUZI lao halitapita KIZINGITI cha Kamati kuu!