Aibu unapaswa kuona wewe unaoisifia Nairobi iliyoendelezwa na wazungu.Acha ujinga wewe..huoni aibu?
Hahaha...wewe rudi kibera tu, unasifia jiji lililoendelezwa na wageni?There is Nothing you know pal.You are just full of utter ignorance.Peleka Povu Tandale.
Hahaha...wewe rudi kibera tu, unasifia jiji lililoendelezwa na wageni?
Pinga kwa hoja acha viroja nyang'auHahaha. This is as good as arguing with a fool....Two/Three lines of argument with you tells me you have a soaked cushion in between your ears.Sawa Nairobi imeendelezwa na wageni.Umetosheka sasa? Good rudi Mabatini basi......Tihihi!
Pinga kwa hoja acha
Hehehe.
sasa hio 3 years ndo unajigamba unajua nairobi.....unaumwa weweHahaha ...nimeishi Nairobi over 3 yrs, rented houses in many street over there so I surely know what m talking about, na huu mchezo hauhitaji hasira mkuu.
Again, I had been working with so many projects in ua prominent's premises hence I undesrstand what your fellow kenyans owns.
Umesahau huu ugonjwa ma*mako ndio aloniambukiza?sasa hio 3 years ndo unajigamba unajua nairobi.....unaumwa wewe
Usinitupie mpira mkuu, tuwekee ushahidi kuwa hizo Malls na maeneo ya lavington, Karen,Muthaiga na hurlingham yanamilikiwa na wananchi weusi/Raia wa kawaida wa kenya.Please, go first.
Usiwe na hofu mkuu, tiririka uwezavyo, kuhusu Albino wala usijali ila wallah mimi tokea nilipomwona yule Mkenya anayejiita Mungu (Mr. Wanyonyi)na kupata wafuasi...nilishajua kweli Manyang'au will never change.Afadhali sisi twaishi kibera.Nyinyi kule Manzese uwanja wa fisi, Mwananyamala kwa kopa, Tandale na Kinondoni Makaburini...Duh! Tuwache na kibera yetu iko afadhali kabisa.......Ama wataka nianzishe Albino tena.?
Usiwe na hofu mkuu, tiririka uwezavyo, kuhusu Albino wala usijali ila wallah mimi tokea nilipomwona yule Mkenya anayejiita Mungu (Mr. Wanyonyi)na kupata wafuasi...nilishajua kweli Manyang'au will never change.
you see how empty you are upstairs....nani kakuuliza mambo ya NY na Johannesburg ndo uanze kuyataja?unajua barabara na sehemu za miji tu but its obvious huijui miji kiundani.ati lavington imejaa wazungu...habari za vijiweniUmesahau huu ugonjwa ma*mako ndio aloniambukiza?
We kweli punguani, kwani Nairobi imekuwa jiji gani la kumfanya mtu atumie muda mrefu kuujua? Watu wanafahamu majiji kama NY, au hata hapo Johannesburg within some months we unazungumzia hapo Nairobi?
Hahaha... kapimwe utindio huo.
Hahaha...nyangau katika ubora wako.Why should we change? Change for what? We are who we are.Kama waumwa go and hug a transformer. Enough with a mad man like you.
nimekuuliza investors wa two rivers nikina nani haujajibu waanza leta story nyingiUsinitupie mpira mkuu, tuwekee ushahidi kuwa hizo Malls na maeneo ya lavington, Karen,Muthaiga na hurlingham yanamilikiwa na wananchi weusi/Raia wa kawaida wa kenya.
Baada ya hapo mimi nitakutajia kwa ushahidi Malls za Kenya zinazomilikiwa na Wawekezaji wa Asia na mwingine Qatar ila wanawatumia local Kenyans.
Go ahead,
Hahaha...slow down man, kilichonifanya nitaje hayo majiji makubwa ni ulimbukeni wako wa kudhani itamgharimu mtu miaka mitatu bila kuifahamu Nairobi ya wajaluo na wakikuyu.you see how empty you are upstairs....nani kakuuliza mambo ya NY na Johannesburg ndo uanze kuyataja?unajua barabara na sehemu za miji tu but its obvious huijui miji kiundani.ati lavington imejaa wazungu...habari za vijiweni
Wewe acha kudandia treni kwa mbele, mimi hilo swali nimemjibu mwenzio nliyekuwa nachatt naye kistaarabu kabla wewe hujaleta milonjo yako,nimekuuliza investors wa two rivers nikina nani haujajibu waanza leta story nyingi
ukishindwa toa hoja ndo maneno yasiyo na msingi yamekujaa....jibu swali mambo yaisheWewe acha kudandia treni kwa mbele, mimi hilo swali nimemjibu mwenzio nliyekuwa nachatt naye kistaarabu kabla wewe hujaleta milonjo yako,
Pia hayo maswali alipaswa kunijibu yeye kisha tuendelee na mjadala, tatizo lako wewe ni mipovu.
Nijibu vipi swali wakati swali langu la awali halijajibiwa?ukishindwa toa hoja ndo maneno yasiyo na msingi yamekujaa....jibu swali mambo yaishe