mbona mnamsakama sana jamaa huyu, moderator na owner walishakubali kuweka matangazo ya aina yoyote hapa BURE!, kwa sababu za msingi kabisa 'kupromote' muda ukiwadia, kila mtu atalipia jamani. hivyo basi yeye akiona ni vizuri kwa sasa kkutoa chochote kama shukrani, inshallah atabarikiwa, siyo kumtukana kana kwamba AMEVUNJA SHERIA!!!!!