Massage za Dar

Yaani uzunguke mpaka ushikwe shikwe mwili ndio upate nyama na hapo ushatoa hela na muda. ila tunatofautiana kuna fast reactor na slow reactor sishangai

Hujaelewa maana ya post. Punguza pupa. Hii ni moja ya maokoto tuu maeneo yapo mengi. Wewe kama unaokota barabarani hongera pia
 
Your browser is not able to display this video.
 
Massage za Uchochoroni hizo sio professional kabisa, massage za bongo nyingi zinafanya uzinzi kuwakamata wanaume.

According to Iryn anakuambia Massage Professional inatakiwa iwe katika…. Anyway mtajua huko mbelembele kidogo
Aaah mkuu mbona hata boss wako alikuwa anauza mbusususu baada ya massage tofauti ni yeye anawauzia watasha tu tofauti na sisi pangu pakavu, ila kuliwa ni kuliwa tu.
 
Mkuu nifanye kuwa meneja muajiri wako hapo BABASHOPuni kwako.. sitaki mshahara🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…