Massage za Dar

Huwa si enjoy kula mzigo pisi inalalamika nampa tu Hela anayotaka.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Ninamiliki barbershop
ambayo ina huduma ya massage. Nawashauri vijana mtumie kinga mtakufa siku si zenu. Kuna mabinti wambulu niliwatoa bushi huko nikawaweka ofisini. Watu walikuwa wanafurika kupata huduma mpk nikawa nabadilisha massage bed kila miezi sita

Watoto walikuwa wanauza kuliko mauzo ya massage parlour.

Anyway siku hizi watu wanafanya kwa afya na si kwa madhumuni kama ya mtoa mada. Barbershop zina huduma nyingi sana muwe mnaenda
 

Babu sema saloon ipo wapi tupe na namba za hao wambulu. Unataka tuishi milele ili ufaidike nini wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…