Huyu kabalehe juzi. Anyway, kuna thread nyingi sana humu JF zinaelezea hayo na maeneo yanayotoa huduma hiyo. Hufanyiwa mume au mke walio katika ndoa na hufanyiana wenyewe wanandoa.

hapa si suala la kubalehe juzi bana mimi mwenyewe nimebarehe miaka 20 iliyopita ila hiki kitu sikijui! niambie kwa kiingeleza kinaitwaje nikiseach hapa!